King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti.
Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima,
Badilikeni.
Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima,
Badilikeni.