Inakera sana pale unapopanga kukutana na demu wako kwa ajili ya kuburudika lakini mwenzio anakuja na kijiji

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti.

Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima,

Badilikeni.


 
Bado hii kasumba ipo!,Miaka ya 2000 jamaa yangu uzalendo ulimshinda,akawaachia bili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…