inakera sana,wasanii wa bongo movie "ku act"maisha wasiyoweza kuyaishi.

inakera sana,wasanii wa bongo movie "ku act"maisha wasiyoweza kuyaishi.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
wasanii wa bongo movie ku act kuwa wamependa real love wakati hawawezi na hawajui kupenda ni upuuzi wa hali ya juu,unakuta movie inamuonyesha monalisa au flora mvungi anauza karanga mitaani,wakati ukweli hawawezi,movie inamuonyesha wolper,wema au uwoya eti wame fall in real love wakati tunawajua ni majambazi hatari ya kike yanayopenda mapedejee inakera sana,muwe mna act uhalu halu wenu siyo kuhadaa jamii,kuna baadhi ya watu wakiwaona hudhani mnafanana na mnayoigiza kumbe ni mavibaka wakubwa nyie,mkiona mwanaume ana noti udenda unawatoka,afadhali kidogo rose ndauka,ila nyie hamna hamfai kwa chai, uji, wala kahawa,eti mnaitwa kioo cha jamii,jamii inajifunza nini kwa ujinga mlionao,juzi ant ezekiel kapora mume wa mtu bila hata aibu,kwa kweli mnachefua sana,ningekuwa na uwezo kama Mungu ningefupisha maisha yenu,kwanza mnaharibu watoto wa wenzenu nyie.
 
Back
Top Bottom