Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika?

Je ni usalama au Kuwagawa waarabu?

Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi mkubwa?).

Kuna jambo gani nyuma ya Pazia la kihistoria linainyima misri ukubwa??
 
Nchi ya Misri (Egypt) iko Afrika kutokana na mipaka ya bahari inayotenganisha mabara. Hata hivyo kuna sehemu ya ardhi ya Misri ipo bara la Asia, yaani Rasi ya Sinai; na ndilo eneo linapakana na nchi ya Israeli.
Afrika kaskazini mwa jangwa la Sahara ni Waarabu na Kusini mwa Sahara ni sisi Wamatumbi (Weusi). Lakini kwa ujumla wote ni Waafrika.
 
Mungu aliwateua Wana wa Israel tu ,kupitia hao ndio wengine wanarithi baraka ,

Israel ndio imetoa manabii wengi, Waarabu hawakuwahi kuahidiwa kupewa nabii,

Mungu aliwachagua Israeli kwa sababu ya agano lake na Abrahamu, Isaka, na Yakobo, ambao walikuwa mababu wa taifa hilo. Mungu aliahidi kwa Abrahamu kwamba atabariki mataifa yote kupitia uzao wake (Mwanzo 12:1-3). Taifa la Israeli lilipewa jukumu maalum la kuwa mwanga kwa mataifa mengine kwa kumtumikia Mungu wa kweli, na kupitia wao ulimwengu wote ulipata baraka ya wokovu kupitia Yesu Kristo.

Sababu kuu za Mungu kuwachagua Israeli ni:

1. Agano na Abrahamu: Mungu aliahidi kufanya taifa kubwa kupitia uzao wa Abrahamu (Mwanzo 12:2).

2. Kutunza neno lake: Israeli walipewa sheria ya Mungu kupitia Musa ili waishi kwa utakatifu na kuonyesha mfano bora kwa mataifa mengine (Kutoka 19:5-6).

3. Kuleta Mkombozi: Kupitia kizazi cha Israeli, Yesu Kristo alizaliwa (Mathayo 1:1-16).

Manabii wa Israeli waliotajwa katika Biblia:

1. Musa
2. Yoshua
3. Samweli
4. Eliya
5. Elisha
6. Isaya
7. Yeremia
8. Ezekieli
9. Danieli
10. Hosea
11. Yoeli
12. Amosi
13. Obadia
14. Yona
15. Mika
16. Nahumu
17. Habakuki
18. Sefania
19. Hagai
20. Zekaria
21. Malaki
 
kwa akili yako ya kawaida na hata ya kiimani mungu anaweza kuwabariki wanawaisrael tu?kwamba wao ndiyo watu pekeee?
 
Back
Top Bottom