Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 838
We tupe data,huwezi kumfanya kila mtu aamini kwaio we tupe nyuzi anaekubali sawa asiyekubali apite hiviTayar nshafuta [emoji4][emoji1431]
Ujue Niliweka na voice note maana kuna wabongo humu Bila hivyo wanasema story za mamaJ huwa Ni chai na hizo sms huwa najitumisha mwenyewe
Nipasie huo mzigo,miye na jembe langu Mpwayungu Village tutamnyoosha kama rulaBaada ya kugombana karibu wiki Mbili kila mtu kivyake, Ijumaa kanitafuta Kisingizio eti kapoteza funguo za nyumban kwake nimpatie nilizonazo za akiba ili asilale nje.
Jumamosi Nmempelekea funguo zake nmekuta mlango hauna Tatizo lolote na tumeishia kufanya mapenz na kurudiana Tena upya kimahusiano.
Jumapili kaomba nikishatoka kanisani asbh nipitie kwake tukafanye mapenz,bahat mbaya ukatokea msiba kwa rafk yangu hivyo siku nzima nikaipoteza msibani na kumwambia Haiwezekani kuja uko hivyo Tutaonana kesho jumatatu jion nkishatoka kazin. Kasema sawa.
Jumatatu ikawa siku ngumu sana maana baada ya kufunga nikawa na shughuli nyngn ya kuhesabu stock na vijana, mpk nafunga kabisa tayar ni saa 5 usiku na nmechoka Sana.
Wazo likaja niende Moja kwa moja mpk kwangu nikapumzike. Ila nikaona sio ustaarabu, kuondoka Bila taarifa kwa mpenz wangu maana nmemuahidi ntapitia kwake nikishatoka dukani.
Nmepiga Simu hajapokea, ikabd niende Moja kwa Moja kwake. Nmefika mtu anang'ang'ana tufanye mapenz MDA huo huo, nikamweleza MDA umeenda Sana (saa 6 kasoro Hii) afu nmechoka sana. Tufanye kesho,Niache nikapumzike.
Akawa haelewi anang'ang'ania suruali na shati siondoki pale mpk tufanye angalau kdg, nmetumia Nguvu sn mpk natoka pale mfuko wa kushoto wa suruali yangu tayar ushachanika.
Jana jumanne niko dukani tangu saa 12 jion Anapiga Simu sn kunikumbusha MDA wa kufunga tayar mbona sitokei nyumban kwake. Nikamweleza kua ni kweli, tayr duka mbele nishafunga ila namalizia kufanya mahesabu ya stoo na vijana Kisha ndo ntakuja uko kwako.Akaanza upya kulalamika Sana.
Nikaona asije kuniharibia kunivuruga kichwa, akili iko kwny mahesabu sahv, nikakata Simu yake na kuendelea na shughuli zangu mpk nilipomaliza mida ya Saa 3 usiku. Nmemaliza nampigia simu Yake ili nimfamihishe nmemaliza shughuli zangu ndo nakuja kwake, akawa hapokei Simu zangu.
Nikajua tayari mwenzangu keshaweka kisirani, nikaona hata Kwenda kwake haina maana tena na kuamua moja kwa moja Kwenda kwangu.
Nmesha fika kwangu ananipigia simu kunitaka niende kwake usiku ule ule ili tukafanye mapenz, nikamweleza tayar nishaingia ndani siwezi kutoka Tena, MDA ule sijafika kwangu nilikupigia ili nije kwako ila hukupokea Simu yangu. Hivyo Tutaonana kesho. Akasema Kama siendi kwake usiku ule Basi nisiende daima. Nikasema "POA", akakata Simu.
Leo asbh naamka nakutana na utitiri wa sms zake za malalamiko khs ninachomfanyia jana yake. Sijamjibu nikavaa na kuondoka zangu kuelekea dukani. Nmefika nmetulia ikabd kumpigia kumjulia hali maan najua Jana kapanic Sana na kutaka kumfahamisha isiwe kesi leo jioni Safi sana, nkishafunga saa 12 jioni ntapitia kwake ili tukafanye sn mapenzi.
Anapokea simu na kuanza kuniwekea masharti kua anataka sahv saa 2 asbh hii niende kwake tukafanye mapenz. Nikamuuliza Kama Yuko serious.
Akasema ndio niko serious funga duka lako uje kwangu tufanye mapenz, vinginevyo usiniombe Tena mapenzi na tuachane kabisa na kwangu usije tena daima. Nilichomjibu "Ni POA TU"
Ila kiuhalisia siko tayar kufunga duka langu asbh ili kuja kwako kufanya mapenz, Kama huwez nisubiri mpk jioni, Basi Amua chochote unachotaka.
Akakazia Tena kua Kama siwez Kwenda kwake MDA huu, Tuachane kabisa na nifute namba zake na nisiende tena kwake daima. Nikasema "POA tu"
KWA TAFSIRI HII
TAYARI NMEACHWA WAKUU NA KIROHO SAFI NMEAMUA KUKUBALIANA NA MATOKEO[emoji26]
Nawasilisha[emoji1431]View attachment 2685508
Hahah, huwa mnawezaje wakuu, mimi huwa naona ni sawa na umeze alafu hapo hapo uteme.Najua vema kutumia withdraw method[emoji4]
Nilijua tuMbona umecheka Sana mkuu spider[emoji4]