Jana jumanne niko dukani tangu saa 12 jion Anapiga Simu sn kunikumbusha MDA wa kufunga tayar mbona sitokei nyumban kwake. Nikamweleza kua ni kweli, tayr duka mbele nishafunga ila namalizia kufanya mahesabu ya stoo na vijana Kisha ndo ntakuja uko kwako.Akaanza upya kulalamika Sana.
Nikaona asije kuniharibia kunivuruga kichwa, akili iko kwny mahesabu sahv, nikakata Simu yake na kuendelea na shughuli zangu mpk nilipomaliza mida ya Saa 3 usiku. Nmemaliza nampigia simu Yake ili nimfamihishe nmemaliza shughuli zangu ndo nakuja kwake, akawa hapokei Simu zangu.
Nikajua tayari mwenzangu keshaweka kisirani, nikaona hata Kwenda kwake haina maana tena na kuamua moja kwa moja Kwenda kwangu.
Nmesha fika kwangu ananipigia simu kunitaka niende kwake usiku ule ule ili tukafanye mapenz, nikamweleza tayar nishaingia ndani siwezi kutoka Tena, MDA ule sijafika kwangu nilikupigia ili nije kwako ila hukupokea Simu yangu. Hivyo Tutaonana kesho. Akasema Kama siendi kwake usiku ule Basi nisiende daima. Nikasema "POA", akakata Simu.
Leo asbh naamka nakutana na utitiri wa sms zake za malalamiko khs ninachomfanyia jana yake. Sijamjibu nikavaa na kuondoka zangu kuelekea dukani. Nmefika nmetulia ikabd kumpigia kumjulia hali maan najua Jana kapanic Sana na kutaka kumfahamisha isiwe kesi leo jioni Safi sana, nkishafunga saa 12 jioni ntapitia kwake ili tukafanye sn mapenzi.
Anapokea simu na kuanza kuniwekea masharti kua anataka sahv saa 2 asbh hii niende kwake tukafanye mapenz. Nikamuuliza Kama Yuko serious.
Akasema ndio niko serious funga duka lako uje kwangu tufanye mapenz, vinginevyo usiniombe Tena mapenzi na tuachane kabisa na kwangu usije tena daima. Nilichomjibu "Ni POA TU"
Ila kiuhalisia siko tayar kufunga duka langu asbh ili kuja kwako kufanya mapenz, Kama huwez nisubiri mpk jioni, Basi Amua chochote unachotaka.
Akakazia Tena kua Kama siwez Kwenda kwake MDA huu, Tuachane kabisa na nifute namba zake na nisiende tena kwake daima. Nikasema "POA tu"
KWA TAFSIRI HII
TAYARI NMEACHWA WAKUU NA KIROHO SAFI NMEAMUA KUKUBALIANA NA MATOKEO[emoji26]
Nawasilisha[emoji1431]
View attachment 2685508