Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
UNASIKITISHA. Unaabudu wanawake braza.Sio kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNASIKITISHA. Unaabudu wanawake braza.Sio kweli
Kuachana kwenu ni mpaka wewe uamue kukaza nitasema kweli penzi limefika mwisho. Shida yako kaka angu wewe ni dhaifu sana kwa huyo mwanamke wako ndio mana anakupelekesha anajua fika kwake hupindui.Break gan hizo tunakwazana namna hii[emoji848]
Ana hormones nyingi ndio maana anakuwa na hasirahasira,kupooza kwake hasira ni moto wakoTatizo ana kisirani mno
NakaziaDah! nina uhakika mkeo ameamua tu kukuchukulia km ulivyo mkuu ila wakati wake wa kufnya maamuzi ukifika utajua hujui
Mke wa huyu jamaa ndo yule wife material anayependwa na wanaume wengiNnacho waza ni huyo mke wako ana hali gani na ratiba zako ambazo hazieleweki🤣
Sasa pesa za bills zinatoka wapi Kama anataka nifunge ili nikakutane nae[emoji848]Kwenye mapenzi Wanawake wanahitaji vitu viwili tu kutoka kwa Mwanaume ambavyo ni Pesa na muda wako tu.
Mwenzio nimepewa kibuti kutokana na tatizo hilo hilo 😎
KabisaHuo ndo ukweli
Wife material Ni ndoto ya kila mwanaume[emoji4]
Wenzio huwa hawafikirii hilo, ila kuna mzuka wake Mwanamke aiombe mwenyewe maana utapewa hadi uchoke mwenyewe 😜Sasa pesa za bills zinatoka wapi Kama anataka nifunge ili nikakutane nae[emoji848]
Ana upwiru huyo inabidi umfungie ndani siku 3 na ufunguo unampa mtu wa nje akapige misele alafu mnamalizana ndani hakuna mtu kutoka nje 🔥 mpaka akaipooze kwenye maji 😬Tuna miaka 4 hatutumii kabisa ndom mkuu[emoji4]
Hiyo ndio yake kaka😁Kwaiyo tiba Ni akapelekewe Moto sio?
Shosti mwanamke Hadi anagombana kisa show,Kwa Nini ndugu yetu asichizike?Kuachana kwenu ni mpaka wewe uamue kukaza nitasema kweli penzi limefika mwisho. Shida yako kaka angu wewe ni dhaifu sana kwa huyo mwanamke wako ndio mana anakupelekesha anajua fika kwake hupindui.
Ha ha ha....wee jamaa bhanaAna upwiru huyo inabidi umfungie ndani siku 3 na ufunguo unampa mtu wa nje akapige misele alafu mnamalizana ndani hakuna mtu kutoka nje [emoji91] mpaka akaipooze kwenye maji [emoji51]
[emoji3578]
Mhhhh huyo muda wote anawaza kuto*******Jana jumanne niko dukani tangu saa 12 jion Anapiga Simu sn kunikumbusha MDA wa kufunga tayar mbona sitokei nyumban kwake. Nikamweleza kua ni kweli, tayr duka mbele nishafunga ila namalizia kufanya mahesabu ya stoo na vijana Kisha ndo ntakuja uko kwako.Akaanza upya kulalamika Sana.
Nikaona asije kuniharibia kunivuruga kichwa, akili iko kwny mahesabu sahv, nikakata Simu yake na kuendelea na shughuli zangu mpk nilipomaliza mida ya Saa 3 usiku. Nmemaliza nampigia simu Yake ili nimfamihishe nmemaliza shughuli zangu ndo nakuja kwake, akawa hapokei Simu zangu.
Nikajua tayari mwenzangu keshaweka kisirani, nikaona hata Kwenda kwake haina maana tena na kuamua moja kwa moja Kwenda kwangu.
Nmesha fika kwangu ananipigia simu kunitaka niende kwake usiku ule ule ili tukafanye mapenz, nikamweleza tayar nishaingia ndani siwezi kutoka Tena, MDA ule sijafika kwangu nilikupigia ili nije kwako ila hukupokea Simu yangu. Hivyo Tutaonana kesho. Akasema Kama siendi kwake usiku ule Basi nisiende daima. Nikasema "POA", akakata Simu.
Leo asbh naamka nakutana na utitiri wa sms zake za malalamiko khs ninachomfanyia jana yake. Sijamjibu nikavaa na kuondoka zangu kuelekea dukani. Nmefika nmetulia ikabd kumpigia kumjulia hali maan najua Jana kapanic Sana na kutaka kumfahamisha isiwe kesi leo jioni Safi sana, nkishafunga saa 12 jioni ntapitia kwake ili tukafanye sn mapenzi.
Anapokea simu na kuanza kuniwekea masharti kua anataka sahv saa 2 asbh hii niende kwake tukafanye mapenz. Nikamuuliza Kama Yuko serious.
Akasema ndio niko serious funga duka lako uje kwangu tufanye mapenz, vinginevyo usiniombe Tena mapenzi na tuachane kabisa na kwangu usije tena daima. Nilichomjibu "Ni POA TU"
Ila kiuhalisia siko tayar kufunga duka langu asbh ili kuja kwako kufanya mapenz, Kama huwez nisubiri mpk jioni, Basi Amua chochote unachotaka.
Akakazia Tena kua Kama siwez Kwenda kwake MDA huu, Tuachane kabisa na nifute namba zake na nisiende tena kwake daima. Nikasema "POA tu"
KWA TAFSIRI HII
TAYARI NMEACHWA WAKUU NA KIROHO SAFI NMEAMUA KUKUBALIANA NA MATOKEO[emoji26]
Nawasilisha[emoji1431]View attachment 2685508
Mke wa huyu jamaa ndo yule wife material
Binafsi kuhusu hii stori ya mama j nimeshakuamini ila ninchotamani kwa sasa ni kuona unaachna nayo kabisa kweli tunachepuka hili halikwepeki lkn sio hv yani mpka unaufumania mchepuko lkn bdo umo tu. Mchepuko muhimu lkn nafasi yake ni km sikio tu na mke abaki km kichwaTayar nshafuta [emoji4][emoji1431]
Ujue Niliweka na voice note maana kuna wabongo humu Bila hivyo wanasema story za mamaJ huwa Ni chai na hizo sms huwa najitumisha mwenyewe