Inakoelekea huyu mwanamke anataka kunigeuza Roboti la kufanyia mapenzi

Break gan hizo tunakwazana namna hii[emoji848]
Kuachana kwenu ni mpaka wewe uamue kukaza nitasema kweli penzi limefika mwisho. Shida yako kaka angu wewe ni dhaifu sana kwa huyo mwanamke wako ndio mana anakupelekesha anajua fika kwake hupindui.
 
Una mpenzi king'ang'anizi kama nini, khaa!!
 
Kwenye mapenzi Wanawake wanahitaji vitu viwili tu kutoka kwa Mwanaume ambavyo ni Pesa na muda wako tu.

Mwenzio nimepewa kibuti kutokana na tatizo hilo hilo 😎
 
Kwenye mapenzi Wanawake wanahitaji vitu viwili tu kutoka kwa Mwanaume ambavyo ni Pesa na muda wako tu.

Mwenzio nimepewa kibuti kutokana na tatizo hilo hilo 😎
Sasa pesa za bills zinatoka wapi Kama anataka nifunge ili nikakutane nae[emoji848]
 
Sasa pesa za bills zinatoka wapi Kama anataka nifunge ili nikakutane nae[emoji848]
Wenzio huwa hawafikirii hilo, ila kuna mzuka wake Mwanamke aiombe mwenyewe maana utapewa hadi uchoke mwenyewe 😜
 
Tuna miaka 4 hatutumii kabisa ndom mkuu[emoji4]
Ana upwiru huyo inabidi umfungie ndani siku 3 na ufunguo unampa mtu wa nje akapige misele alafu mnamalizana ndani hakuna mtu kutoka nje 🔥 mpaka akaipooze kwenye maji 😬
✍️
 
Kuachana kwenu ni mpaka wewe uamue kukaza nitasema kweli penzi limefika mwisho. Shida yako kaka angu wewe ni dhaifu sana kwa huyo mwanamke wako ndio mana anakupelekesha anajua fika kwake hupindui.
Shosti mwanamke Hadi anagombana kisa show,Kwa Nini ndugu yetu asichizike?
 
Ana upwiru huyo inabidi umfungie ndani siku 3 na ufunguo unampa mtu wa nje akapige misele alafu mnamalizana ndani hakuna mtu kutoka nje [emoji91] mpaka akaipooze kwenye maji [emoji51]
[emoji3578]
Ha ha ha....wee jamaa bhana
Umenifanya Nmecheka mbele za watu
 
Mhhhh huyo muda wote anawaza kuto*******
 
Mke wa huyu jamaa ndo yule wife material

Tayar nshafuta [emoji4][emoji1431]
Ujue Niliweka na voice note maana kuna wabongo humu Bila hivyo wanasema story za mamaJ huwa Ni chai na hizo sms huwa najitumisha mwenyewe
Binafsi kuhusu hii stori ya mama j nimeshakuamini ila ninchotamani kwa sasa ni kuona unaachna nayo kabisa kweli tunachepuka hili halikwepeki lkn sio hv yani mpka unaufumania mchepuko lkn bdo umo tu. Mchepuko muhimu lkn nafasi yake ni km sikio tu na mke abaki km kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…