Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

Wewe ni msukule wa mwendazake, hujadili hoja unajadili watu wasiohusika
 
Yapande yafike hata elfu kumi huko kwa lita 1labda ndo mtamjui mchawi.
 
Kwa akili yako ya kawaida ulivyofikiri ktk kichwa chako ukaconclude kuwa mafuta tunayotumia leo hii yametoka nje ya nchi janaπŸ˜ƒ

Haya mafuta unayoona yanauzwa kwa bei hiyo ni yale yalisyosafirishwa miezi iliyopita ambayo kimsingi bei ilikuwa juu.

Hayo mafuta yaliyoshuka ktk soko la dunia impact yake itaonekana miezi ijayo
 
Si mmekabidhi nchi kwa wapigadili mtakiona cha mtema kuni, Magufuli aliongea sana mkaishia kumuita raisi mshamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa wajanja ndio hao wako kuwalazeni njaa
Waache wapigwe,wakigeuka kibano,mbele kibano nyuma kibano kushoto kibano kulia kibano,juu kibano ,chini kibano mpk mma waite maaa.
 
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Ndugu yangu Johnny Sack, nakuomba sana usichanganye mambo. Kumbuka kuna Dunia na kuna Tanzania...hivi ni vitu viwili tofauti!
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari.
Naam, ni kweli bei za mafuta zimekuwa zikishuka duniani wala hilo halina ubishi. Lakini usisahau kuwa Dunia na Tanzania ni maeneo tofauti.

Tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Sawa sawa, hilo linatokea huko duniani? Hata hivyo jiulize kaswali kadogo; je Tanzania hii yetu iko katika hiyo dunia unayoiongelea?
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau!
Kwa kujibu haya maswali yako na mimi nakupa maswali machache.
Ni dunia ipi ujinga ukawa ni sifa?
Ni dunia ipi ujinga ukaenziwa?
Ni dunia ipi ujinga ukapewa kipaumbele katika uongozi?

Johnny Sack, ni Tanzania tu ujinga ni mojawapo ya sifa katika kuchagua na kuchaguliwa!
Ni Tanzania tu ujinga hushangiliwa kwa makofi na vigelegele!
Ni Tanzania tu ujinga huzawadiwa kwa teuzi katika kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo.

Haya maandishi yangu tayari najua yatakavyopokelewa duniani na najua yatakavyopokelewa Tanzania hii yetu. Huwezi kupanda mpunga ukavuna mtama, la hasha, lazima utavuna ulichopanda! Wtanzania tunavuna tulichopanda!
 
Mafuta hayajashuka jana, nimekuwekea chart hapo, au huwezi kusoma chart?
 
Hiyo miezi miwili nyuma yalikua pia yameshuka. Miezi miwili nyuma ni June, kaangalie bei ya June.
Bei ya soko la dunia kwa June ni sawa na April, Ila kwa nn huku bei imeongezeka?
 
Aisee!
 
Hiyo miezi miwili nyuma yalikua pia yameshuka. Miezi miwili nyuma ni June, kaangalie bei ya June.
Bei ya soko la dunia kwa June ni sawa na April, Ila kwa nn huku bei imeongezeka?
Jamaa wana kazi ngumu sana kutetea unga wao!
 
Mafuta yalianza kushuka tangia May.. Hizo impact tujulishwe ni lini.

Last time Makamba alisema effects ni baada ya miezi mitatu, May mpaka sasa tayari ni miezi mitatu mbona bei ndio kwanza zinapanda??

Ni vyema serikali inavyopandisha bei ituweke wazi hayo mafuta yalinunuliwa mwezi wa ngapi na kwa bei gani ili kuondoa ukakasi, la sivyo tutaamini tunaibiwa..
 
Baba Magufuli kokote uliko "nakuomba msamaha, nimekosa mimi, nimekosa Sana". Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe, Sasa wembe ndio unatukata.
Hahaha lazma mtubu. Unapokea pipi mkono wa kushoto unakula nyundo mkono wa kulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ananauuuupiga mwiiiiiiingiiiii hadi mtoe samadi na bado maana chawa wengi humu ni ambao wanakula kwa wazazi wao au wapo kwenye familia nufaika na mfumo ila wengi wetu huku huyu bb kachafua hali hana jipya
 
Ananauuuupiga mwiiiiiiingiiiii hadi mtoe samadi na bado maana chawa wengi humu ni ambao wanakula kwa wazazi wao au wapo kwenye familia nufaika na mfumo ila wengi wetu huku huyu bb kachafua hali hana jipya
wewe utakua ni msukule wa jiwe ndio maana umekuja na matusi badala ya hoja
Ila ni afadhali matuta yafike hata 10k kwa lita kuliko kuongozwa na jiwe
 
Bei ikishapanda usitegemee kushuka.
3410 leo Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…