Inakuaje Dume zima unatumia App ya Snapchat?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Nipo kwenye gari hapa nimeshangaa kumwona jamaa dume na mindevu yake ana App ya Snapchat kwenye simu yake

Bila shaka anaitumia hii app,binafsi naona hii App imekaa kutumika tumika na Wanawake ,sasa dume unatumia Snapchat ya nini?

Je, ni fresh kweli kwa dume kutumia hii App?


 
Mimi baada ya kuona kasi ya mitandao ya kijamii inaongezeka ikabidi nikubali ushamba tu insta ndio ikawa ya mwisho, na hivi ni mvivu wa kupiga picha, huko insta mara ya mwisho kupost ilikiwa ni mwaka 2014-15 hivi.

kila mtu na maamuzi yake, snap kwangu imekaa kikike kike.. Ila kwenye wanawake wengi wanaume huvutika.. Ushasahu ile MBWINU waliyoiMBINU "ladies free" hapo lazima vidume wajazane club kwa kiingilia cha elf 10 anakuwa kaishamlipia mwanamke elf 5 bila kujua. [emoji23]
 
Wee umeijuaje? Wanaume kamili hata tukiiona, hatuijui.
 
Kwan kuna shida kuwa na app hiyo kwenye simu na kwan nani alikwambia hiyo app ni ya kike? Je kama demu wake ndo ali download na ndo anatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…