ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mwanaume kutumia tic-toc, Snapchat na beautiful camera ni kipaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapanaNipo kwenye gari hapa nimeshangaa kumwona jamaa dume na mindevu yake ana app ya Snapchat kwenye simu yake
Bila shaka anaitumia hii app,binafsi naona hii App imekaa kutumika tumika na wanawake ,sasa dume unatumia Snapchat ya nini??
Je ni fresh kweli kwa dume kutumia hii App??View attachment 1821755
kile kipaji pendwa eeeehMwanaume kutumia tic-toc, Snapchat na beautiful camera ni kipaji
Hahaaha hata wanawake sio wote wanaotumia sbap chat mkuu, ni wale ma slay queen tuNipo kwenye gari hapa nimeshangaa kumwona jamaa dume na mindevu yake ana app ya Snapchat kwenye simu yake
Bila shaka anaitumia hii app,binafsi naona hii App imekaa kutumika tumika na wanawake ,sasa dume unatumia Snapchat ya nini??
Je ni fresh kweli kwa dume kutumia hii App??View attachment 1821755
Umenikumbusha jamaa flani hivi afu huwa anajisnap ile ya mbwa ya kutoa ulimi nje[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni dume pia natumia snapchat haya leta malalamiko yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMwanaume kutumia tic-toc, Snapchat na beautiful camera ni kipaji
Kina calissah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Snapchat na tiktok majamaa wa gym gym na wafuga fuga mindevu wanazipenda sana.[emoji28]
Ao ao vipenzi vyenu.😂😂Kina calissah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi wakurya wapo Snapchat..
Ajabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ao ao vipenzi vyenu.[emoji23][emoji23]
Kwani Snapchat ni wanawake tyuuh?Huo ni umama...
Mwanaume unafanya nini hiko... Mwanaume ni JF na Twetter...Kwani Snapchat ni wanawake tyuuh?
Kheeeeh wee watu mmezidi sasa kubinafsisha vitu lol.Mwanaume unafanya nini hiko... Mwanaume ni JF na Twetter...