Inakuaje Dume zima unatumia App ya Snapchat?

Nipo kwenye gari hapa nimeshangaa kumwona jamaa dume na mindevu yake ana app ya Snapchat kwenye simu yake

Bila shaka anaitumia hii app,binafsi naona hii App imekaa kutumika tumika na wanawake ,sasa dume unatumia Snapchat ya nini??

Je ni fresh kweli kwa dume kutumia hii App??View attachment 1821755
hapana
 
Hahaaha hata wanawake sio wote wanaotumia sbap chat mkuu, ni wale ma slay queen tu
 
Kazi yake ni nini ?

Jibu kwanza hilo alafu jiulize kama mtu akiwa mwanaume hawezi akapata issue ya kuweza kufanyika kwa hio kazi....

Ukitaka kuishi vizuri usiangalie watu watakuonaje bali fanya kile ambacho kina manufaa kwako (sio kufurahisha umati)
 
Back
Top Bottom