Inakuaje Marekani ikiwa kinara wa kudai wanawake Duniani haswa Africa wapewe nafasi za uongozi na kuweka kama kigezo Cha misaada ila wao hawako tayari

Inakuaje Marekani ikiwa kinara wa kudai wanawake Duniani haswa Africa wapewe nafasi za uongozi na kuweka kama kigezo Cha misaada ila wao hawako tayari

Joan lewis

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
993
Reaction score
1,463
Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad.

Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare kuweka wanawake kama Marais na kuwa-empower.

Mimi sio mbaguzi lakin Tangu Bi Hilary Clinton na sasa Kamala ni Men wanachukua. Kumbe hata wangemweka Trump na Mama maria angeshinda Trump.😜

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Unaweza kuona pia Biden alishinda pamoja na umri mkubwa kamshinda Trump lkn ilipokuja Kwa Kamala wakaona Shida.🥲 Hii tunaiitaje wadau wa wa Jukwaa na watu Excellence wa JF?
 
Lini Wamarekani walisema muwape watu uongozi kwa sababu ni wanawake??
Katika sera na vigezo husema usawa wa jinsia Uzingatiwe? Wewe husikiagi? Na miradi mingi kuhamasisha nadhani waanze kujihamasisha wao kwanza. Waweke Rais mwanamke ndio wataeleweka. Au mpaka wafike Rais wa 60?
 
Hao ndiyo mabeberu mkuu. Mambo ya 50/50 kwao ni katika nyaja zingine ila sio URAISI.
Ingawa sio vizuri kusema kwamba "WANATUCHEKA" ILA NDIYO UKWELI HALISI KATIKA ULIMWENGU WA SERA ZA DUNIA YA HII.
 
Hivi kweli Kamala Harris angeweza kuwakoromea Kim Jong un, Vladimir Putin na X jinping?

Kuna mambo na sekta nyeti za uongozi lazima awepo kidume.

Akitoa order, hakuna umbwa wa kubweka bweka.

Wote ni kufyata mkia na kufuata.
 
Hao ndiyo mabeberu mkuu. Mambo ya 50/50 kwao ni katika nyaja zingine ila sio URAISI.
Ingawa sio vizuri kusema kwamba "WANATUCHEKA" ILA NDIYO UKWELI HALISI KATIKA ULIMWENGU WA SERA ZA DUNIA YA HII.
Nakueleza mkuu Ngoja Kamala aongee Kesho then hii miaka minne tutashuhudia Mengi Sana. Ikiwemo misuguano ya ndani kama alivyokuwa anaaruana na spika wa Senet Bi Nancy Pelos Ndio ujue someting is not ok
 
Hivi kweli Kamala Harris angeweza kuwakoromea Kim Jong un, Vladimir Putin na X jinping?

Kuna mambo na sekta nyeti za uongozi lazima awepo kidume.

Akitoa order, hakuna umbwa wa kubweka bweka.

Wote ni kufyata mkia na kufuata.
Kwa Taarifa yako Urusi wakat wa Hilary walikula Yamini ikiwemo kashfa za udukuzi wa uchaguzi Kwa kuwa waliona Hatari kubwa ikiwa Bi Hilary angeingia WH.
 
Katika sera na vigezo husema usawa wa jinsia Uzingatiwe? Wewe husikiagi? Na miradi mingi kuhamasisha nadhani waanze kujihamasisha wao kwanza. Waweke Rais mwanamke ndio wataeleweka. Au mpaka wafike Rais wa 60?
Kwani wakisema usawa wa kijinsia uzingatiwe ndio wamesema wapeni tu nafasi za uongozi kwa sababu ni wanawake?? Kwani bunge la Marekani lina wabunge viti maalumu? Mbona wanawake wako wengi tu??
 
Back
Top Bottom