Vinatoka China, wote wanafata china au hao wachina wanaletewa bure? Au hapo bandarini hawalipii kodi.?Kwanza ungejiuliza hivyo vitu vya Mchina vinatoka Nchi gani? Ukishapata jibu fanya tafakuri utaelewa?
Bidhaa nyingi wanazouza wabongo na wachina zinatoka nchi moja, China! Inafikirisha bidhaa iliyo kwa mchina unaipata bidhaa hiyo hiyo kwa mbongo kwa bei mara mbili zaidi!Kwanza ungejiuliza hivyo vitu vya Mchina vinatoka Nchi gani? Ukishapata jibu fanya tafakuri utaelewa?
Kuna haja ya kuyafahamu maduka ya wachina ili mtu uwe unaenda moja kwa moja hata kama mawinga watakuzuia utaweza kuwapita tu.Bidhaa nyingi wanazouza wabongo na wachina zinatoka nchi moja, China! Inafikirisha bidhaa iliyo kwa mchina unaipata bidhaa hiyo hiyo kwa mbongo kwa bei mara mbili zaidi!
Halafu ukienda duka la mchina ukikutana na winga kama huelewi, lazima atakupiga bei mara mbili pia, maana wanakuwaga mbele ya maduka yao wanavizia wageni!
Winga atakuambia bidhaa 12,000/= na anakuzuia usiende direct kwa mchina, maana anajua hiyo bidhaa utaipata kwa 6k au chini ya hapo!
KabisaKuna haja ya kuyafahamu maduka ya wachina ili mtu uwe unaenda moja kwa moja hata kama mawinga watakuzuia utaweza kuwapita tu.
Kwa wanaoyafahamu mawinga hawawasumbui, wageni wasio na wenyeji ndio wanadakwa kirahisi na mawinga, ila ndio hivyo akishadakwa mara moja kama mjanja muda mwingine anakwenda direct kwa mchina!Kuna haja ya kuyafahamu maduka ya wachina ili mtu uwe unaenda moja kwa moja hata kama mawinga watakuzuia utaweza kuwapita tu.
Siku zote lazima tuanzie kwenye practice then ndio tuujue mchezo, sio mbaya kwa mara ya kwanza ukidakwa na mawinga. ila ukiwa na mwenyeji(muaminifu) ndio inakuwa poaKwa wanaoyafahamu mawinga hawawasumbui, wageni wasio na wenyeji ndio wanadakwa kirahisi na mawinga, ila ndio hivyo akishadakwa mara moja kama mjanja muda mwingine anakwenda direct kwa mchina!
Labdahuu uzi una uhusiano na mgomo?