Inakuaje Mchina Kariakoo anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini Mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini Mtanzania naye asiuze bei chee kama Mchina?

Inakuaje Mchina KARIAKOO anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini mtanzania naye asiuze bei chee kama mchina?

Mfano unakuta mtanzania anakuuzia kitu kwa 90,000/= Tsh lakini ukienda kwa mchina anakuuzia 45,000/=Tsh

Kwanini mtanzania asiende kununua kwenye bei chee kwa mchina kuliko kununua bei ghali kwa mtanzania mwenzake.

Kama mzigo wote wanafata sehemu moja kwanini gharama ziwe juu.

Tatizo nini? Sera za wawekezaji? Au kuna mikataba ya siri ilisainiwa kuwapa upendeleo wa China?

(Mdau anauliza mtaani)

Ufafanuzi tafadhali yakinifu wataalamu karibuni

Hii si sawa
 
Hii si sawa
Yay

Usingehitimisha kusema si sawa. Ungepaswa kumuuliza kwa gap hilo la bei ni bidhaa gani hiyo?

Aiweke hapa tuone maana hata sisi tuna biashara huko. Atufahamishe ni kitu gani mchina anakuuzia 45k halafu mbongo 90k.

Na ukubwa wa mzigo unakuwaje?
 
Inakuaje Mchina KARIAKOO anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini mtanzania naye asiuze bei chee kama mchina?

Mfano unakuta mtanzania anakuuzia kitu kwa 90,000/= Tsh lakini ukienda kwa mchina anakuuzia 45,000/=Tsh

Kwanini mtanzania asiende kununua kwenye bei chee kwa mchina kuliko kununua bei ghali kwa mtanzania mwenzake.

Kama mzigo wote wanafata sehemu moja kwanini gharama ziwe juu.

Tatizo nini? Sera za wawekezaji? Au kuna mikataba ya siri ilisainiwa kuwapa upendeleo wa China?

(Mdau anauliza mtaani)

Ufafanuzi tafadhali yakinifu wataalamu karibuni

Mchina anauzia volume ila mtanzania anauzia faida.
 
Nitazungumza kwa kifupi maana hii ndio eneo langu kwa miaka 30 sasa.
Iko hiv. Kwanza kabisa china wabongo wengi wanaenda kununua vitu madukan. Lakini kama ni mtu wa kujiongeza na una hela za kiume unaenda kwa middle Man lakin pia kama una hela zaid unaenda kiwandan. Sasa. Hayo maeneo yote matatu ya bei zake tofauti.
Bei ya raba mfano kiwandan.
Kiwandan raba tshs. 40,000
Middle Man. Tshs 55,000
Madukan. Tshs 65,000
Sasa hapa ni kiatu kimoja kinauzwa bei tatu tofauti. Shida ipo kwenye quantity. Kiwanda kinaweza kukuambia ili kiweze kukuuzia bei hiyo uchukue kuanzia PCs 10,000
Middle Man nae anakuambia ili akuuzie bei hiyo uchukue kuanzia PCs 2,000. Ukija dukan anakuambia ili akuuzie bei hiyo uchukue kuanzia PCs 12 au 24 usisahau hii ni kwa items moja kila idadi. Sasa basi maelezo ya viwanda ni kuwa ukichukua kwa wingi na wao wanaenda kununua material kwa wingi so kule wanapunguziwa wakinunua kwa wingi na wewe huku watakupunguzia. So kwa idadi hiyo wanachukua faida kidogo kila kiatu ila kwakuwa unanunua vingi wanapata vingi. Hivyo hivyo kila eneo. Sasa basi wabongo wengi misingi wanayozungusha haizidi billion moja ni wachache na walio nazo wameweka kwenye majumba. So kwakuwa hela zetu ni nyembamba wengi tunaishia madukan kununua bidhaa ileile kwa bei za dukan wakat mchina msingi wake ni mrefu ananunua bidhaa hiyo hiyo kwa bei ya kiwandani. Sasa ukilogwa usipomlia timing mchina mkafikisha siku moja bidhaa aina moja sokon anakutoa relin. Kingine kule china wachina wanachukua mikopo kwao kwa riba ya asilimia 3 single digit hapa kwetu tunachukua kwa dablo dijit yaan asilimia 18 sasa unaweza kuona huo Moto tunavyopelekewa kweupe. Kingine pia ni kuwa china kuna miji mwingine ni masoko na mingine ni viwanda so usipojua hilo ukaenda kununua bidhaa ya kiwandan kwa bei ya sokon imekula kwako. So ili uende sawa na mchina mzunguko wako unatakiwa usipungue b5 plus kwenye mizunguko miwili.
Mi huwa ili tuende sawa na mchina nina colabo ya watu watano tunajichanga tunaenda kiwandan kwa jina moja tunaweka oda moja katika majina matano na siku ya kudeliver. Kila mtu anapelekewa eneo cargo yake so tunaenda sawa na mchina. Mbaya ni kuwa hawa watu nilioko nao colabo sio wabongo coz wabongo ni wabinafs hawataki umoja katika maslah. La kujifunza ni kuwa sisi ni masikin sana yaan sanaaa. Coz unakuta mzungu mmoja ana maduka zaid ya elfu 5 huko dunian na mnaweka nae oda Sehem moja ila yeye oda yake kiwnda inakuambia ni special oda so anaweza kustopisha kiwanda kwa miez mitatu kinatengeneza oda yake tu. Tena kwa bei ndogo mno. So kwa kifupi ndio hivyo. Tupambane sisi ni bado sana tumejaliwa midomo tu kazin bure kabisa.
 
Kwa hali hiyo kweli ni ngumu sana kupambana na hao wageni!!

Sasa mkuu huu mgomo, moja ya hoja zao ni pamoja na hao wachina..
Kwa hapo wachina wana kosa gani? Maana ni mambo ya pesa, na je hao wachina wakiondoka hakutakua na athari kwa sisi wanunuzi kwa kuuziwa vitu bei juu zaidi.?
 
Mikataba ya kimataifa pia inawasaidia kuhusiana na kodi,kodi anayotoa Mchina wakati anaingiza bidhaa ni tofauti na mzawa
 
Inakuaje Mchina Kariakoo anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini mtanzania naye asiuze bei chee kama mchina?

Mfano unakuta mtanzania anakuuzia kitu kwa 90,000/= Tsh lakini ukienda kwa mchina anakuuzia 45,000/=Tsh

Kwanini mtanzania asiende kununua kwenye bei chee kwa mchina kuliko kununua bei ghali kwa mtanzania mwenzake.

Kama mzigo wote wanafata sehemu moja kwanini gharama ziwe juu.

Tatizo nini? Sera za wawekezaji? Au kuna mikataba ya siri ilisainiwa kuwapa upendeleo wa China?

(Mdau anauliza mtaani)

Ufafanuzi tafadhali yakinifu wataalamu karibuni

Wafanyabiashara Watanzania hawana akili ya biashara, wao wanategemea uchawi tu.
 
Inakuaje Mchina Kariakoo anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini mtanzania naye asiuze bei chee kama mchina?

Mfano unakuta mtanzania anakuuzia kitu kwa 90,000/= Tsh lakini ukienda kwa mchina anakuuzia 45,000/=Tsh

Kwanini mtanzania asiende kununua kwenye bei chee kwa mchina kuliko kununua bei ghali kwa mtanzania mwenzake.

Kama mzigo wote wanafata sehemu moja kwanini gharama ziwe juu.

Tatizo nini? Sera za wawekezaji? Au kuna mikataba ya siri ilisainiwa kuwapa upendeleo wa China?

(Mdau anauliza mtaani)

Ufafanuzi tafadhali yakinifu wataalamu karibuni

Unaogea jumla jumla
 
Ndo maana tunawahitaji wawekezaji zaidi kuliko Hawa wazawa ni wabinafsi sana,nchi zenye wawekezaji wengi bidhaa za vitu zpo chini Sana mfano hapo Uganda tu kila kitu kipo chn
 
Inakuaje Mchina Kariakoo anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini mtanzania naye asiuze bei chee kama mchina?

Mfano unakuta mtanzania anakuuzia kitu kwa 90,000/= Tsh lakini ukienda kwa mchina anakuuzia 45,000/=Tsh

Kwanini mtanzania asiende kununua kwenye bei chee kwa mchina kuliko kununua bei ghali kwa mtanzania mwenzake.

Kama mzigo wote wanafata sehemu moja kwanini gharama ziwe juu.

Tatizo nini? Sera za wawekezaji? Au kuna mikataba ya siri ilisainiwa kuwapa upendeleo wa China?

(Mdau anauliza mtaani)

Ufafanuzi tafadhali yakinifu wataalamu karibuni

Ndio maana wabongo wengi hawaendelei, tamaa sana.

Wachina oyeeeee👐👐👐oyeeeeee, niache kununua kwa mchina bei chee nikanunue kwa mbongo, kisa!!
 
inategemea na mnunuzi anataka pcs ngap ikiwa anataka kwa jumla atauziwa bei ya chini
 
Back
Top Bottom