The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Inakuwaje mdada una kalio dogo flat halafy unasubiri kutongozwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm binafsi ni mpenzi sana "gari kubwa" ila mtoa mada kanisikitisha sana lugha iliyotumika sio nasi tuna dada zetu shangazi na wengineo!Ni akili za kipumbavu sana kufikiri unachopenda wewe na wengine wanakipenda..
Hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza anzisha mada kama hii kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hili ndio vijana wanaita povuKwani umelazimishwa kututongoza? Una matatizo kweli wewe...wenye mikia wanaokutongoza si wapo sisi tukifanya mambo yetu wewe unawashwa nini? Ovyooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio hawa flat screen wanatakiwa wakutongoze?Hii mada itaendelea kesho.
Mentality yako ni ya kindezi sana. Usidhani kuwa mawazo au tabia zako zina akisi wanaume wote.Hii mada itaendelea kesho.