Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Kwahiyo wewe umetongozwa kwasababu una mkia right? Kila la kheri.
 
Ni akili za kipumbavu sana kufikiri unachopenda wewe na wengine wanakipenda..
Hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza anzisha mada kama hii kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani dada nimekusemea wewe au nimesema mawazo yangu. Anzisha mada yako useme mwanaume unaempenda cuma wewe.
 
Mada sasa iendelee tuone ulikuwa unataka kusema nini.

Binafsi napenda Gari kubwa kama Crusser, Range Rover, BMW X6, na kidogo Harrier new modern.

Kuwa na Mwanamke Flat najiona kama nipo kwenye Vitz, Corola, na vijigari vidogo vidogo.

Nikiwa na Mwanamke mwenye Chura nipo comfortable sana kama nikiwa ndani ya jumba kubwa yaani bangaloo. Sio kijumba kidogo hata hewa hakina.

Nikiwa na mwanamke mwenye msambwanda najiona natumia Smartphone kama Vile Iphone lakini mwanamke Flat ni kama natumia Nokia Torch.

Mwisho huu ni mtazamo wangu na wala sitaki uwe wa watu wote. Kila mtu na maisha yake
 
😎😎wewe huyo!!
 
Back
Top Bottom