Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,470
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niende wapi my wangu?My hapa hauhusiki bana..
Njoo huku ndani...Niende wapi my wangu?
Njoo huku ndani...
Shida ni kua ukimlalia unakua kama unalalia Chaga tupu wakati magodoro yapo.Watamu sana, hujuwi tu kuwatumia. Kuna wakati miguu inakuwa kichwani kwake. Kwakweli unawakosea sana. Natamani angejitokeza mmoja inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kila mwanamke aliyepo humu ni lazima awe ameolewa?Hizi comments zinatia wasiwasi Sana
Aisee Leo ndiyo nimeamini kuwa humu kuna wanawake hawajaolewa maana kama wewe ni flat na una ndoa ya nini uweweseke na kutongozwa ilihali una ndoa
Kama sivyo basi wengi wenu ni ma single Maza...
Huko huko my wangu....Ndani ya boksi au wapi my?
AiseeKwani umelazimishwa kututongoza? Una matatizo kweli wewe...wenye mikia wanaokutongoza si wapo sisi tukifanya mambo yetu wewe unawashwa nini? Ovyooo
Sent using Jamii Forums mobile app
😁msemakweli ni mpenzi wa munguMada sasa iendelee tuone ulikuwa unataka kusema nini.
Binafsi napenda Gari kubwa kama Crusser, Range Rover, BMW X6, na kidogo Harrier new modern.
Kuwa na Mwanamke Flat najiona kama nipo kwenye Vitz, Corola, na vijigari vidogo vidogo.
Nikiwa na Mwanamke mwenye Chura nipo comfortable sana kama nikiwa ndani ya jumba kubwa yaani bangaloo. Sio kijumba kidogo hata hewa hakina.
Nikiwa na mwanamke mwenye msambwanda najiona natumia Smartphone kama Vile Iphone lakini mwanamke Flat ni kama natumia Nokia Torch.
Mwisho huu ni mtazamo wangu na wala sitaki uwe wa watu wote. Kila mtu na maisha yake
Poa luv, kwema?
Nawasalimia