Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Hizi comments zinatia wasiwasi Sana

Aisee Leo ndiyo nimeamini kuwa humu kuna wanawake hawajaolewa maana kama wewe ni flat na una ndoa ya nini uweweseke na kutongozwa ilihali una ndoa

Kama sivyo basi wengi wenu ni ma single Maza...
Kwani kila mwanamke aliyepo humu ni lazima awe ameolewa?

Na ni nani aliyekwambia mwanamke kuwa 'single mama' ni kosa la jinai?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada sasa iendelee tuone ulikuwa unataka kusema nini.

Binafsi napenda Gari kubwa kama Crusser, Range Rover, BMW X6, na kidogo Harrier new modern.

Kuwa na Mwanamke Flat najiona kama nipo kwenye Vitz, Corola, na vijigari vidogo vidogo.

Nikiwa na Mwanamke mwenye Chura nipo comfortable sana kama nikiwa ndani ya jumba kubwa yaani bangaloo. Sio kijumba kidogo hata hewa hakina.

Nikiwa na mwanamke mwenye msambwanda najiona natumia Smartphone kama Vile Iphone lakini mwanamke Flat ni kama natumia Nokia Torch.

Mwisho huu ni mtazamo wangu na wala sitaki uwe wa watu wote. Kila mtu na maisha yake
😁msemakweli ni mpenzi wa mungu
 
Back
Top Bottom