Inakuaje mimi na mdogo wangu tunakua na hisia zinazofanana at the same time hii imekaaje?

Inakuaje mimi na mdogo wangu tunakua na hisia zinazofanana at the same time hii imekaaje?

Atukuzwee

Senior Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
125
Reaction score
239
Aisee kuna hali naipitia nakua tuu sina Raha by outmatically
Mood of sana niko tuu nafanya ibadae nahisi kuna kitu kibaya kinatokea but sijajua ila cha kushangaza jana dogo nae ananiambia anapitia situation kama ya kwangu aisee hili limenishangaza sana.. Mungu atusaidie atuondolee hili balaa yaani tunakua na Hofu kubwa mno
 
Aisee kuna hali naipitia nakua tuu sina Raha by outmatically
Mood of sana niko tuu nafanya ibadae nahisi kuna kitu kibaya kinatokea but sijajua ila cha kushangaza jana dogo nae ananiambia anapitia situation kama ya kwangu aisee hili limenishangaza sana.. Mungu atusaidie atuondolee hili balaa
Yaan ni Jana tu tayari umeweuka...
Wewe wakikuwekea nyoka aliyekufa mlango nahisi utajimaliza mazima
 
Ni Swala La Muda Tu Kila Mtu Atachanganyikiwa Kwa Wakati Wake
 
usikute mdogo wake anayemzungumzia hapa ni yule alianzisha uzi akisema kila kitu ni cha marekani na mungu analijua hilo!
 
Back
Top Bottom