Inakuaje mimi na mdogo wangu tunakua na hisia zinazofanana at the same time hii imekaaje?

Inakuaje mimi na mdogo wangu tunakua na hisia zinazofanana at the same time hii imekaaje?

Aisee kuna hali naipitia nakua tuu sina Raha by outmatically
Mood of sana niko tuu nafanya ibadae nahisi kuna kitu kibaya kinatokea but sijajua ila cha kushangaza jana dogo nae ananiambia anapitia situation kama ya kwangu aisee hili limenishangaza sana.. Mungu atusaidie atuondolee hili balaa yaani tunakua na Hofu kubwa mno
Fanyeni Sana ibada.. perhaps Kuna Jambo baya linataka kutokea ongezeni Dua/ ibada kwa Sanaa

Nyinyi ni damu moja/ ukoo/ mzimu mmojaa
 
Back
Top Bottom