Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 341
- 719
wakuu kwema?
Binafsi niko safarini kuelekea mkoani katika harakati za kutafuta grisi ya kulainisha ugumu wa maisha.
Hii safari yangu imekuwa mbaya sana kuliko safari zote nilizo wahi kusafiri, nimekaa na kijana(mwanaume) mwenzagu the way alivo kama kungekuwa na siti iliyo wazi au ningejua mapema nakaa na mtu wa namna hii ningeweza kubadili mapema seat ya kukaa au gari kabisa.
Jamaa amenyoa nywele za pembeni ambayo mnaziita kiduku style then kasuka Rasta zile za kulala mbaya zaidi sikioni ana hereni na puani ametoboa ameweka kipini kidogo, Huyu jamaa ana mwenzake yuko seat inayofuata naye ana hereni ila yeye hajasuka wala hana kipini.
Kiukweli kukaa naye hapa imekuwa kero sana kwangu, kila nikimuangalia najihisi vibaya sana.
Hivi inakuwaje mwanaume unafikia kiwango hiki? Ni kwamba wanaona dada zao wanafaidi au?
Wazazi mnawaachaje vijana wenu wa kiume mpaka wanafikia kiwango hiki mkiwa mnawaangalia?