Inakuaje mpaka mwanaume unasuka, kutoboa sikio na kuvaa hereni au kuvaa kipini puani?

hereni kawaida japo mimi sijatoboa.kusuka kawaida japo mimi sijasuka.
 
Wamasai wanaume wanasuka,

Ukikutana na mmasai kasuka,hakuna anayeshangaa,hata Kama kaulamba mkanda nje,na anasime yake hakuna anayeshangaa,akili zetu zimezoea hivyo kwamba mmasai kusuka ni jadi yake,sasa Kama mwanaume mmasai anasuka kwanini wengine wakisuka inakuwa nongwa!!

Ni mitazamo ya akili ilivyozoea,zamani ukitembeamjini umevaa bukta na kandambili kama wazungu,watu watakushangaa na kukuona kituko,ila kwa wazungu,aaaah ni jadi yao!!!
Utamaduni ni dynamic unabadirika kila leo,
 
Twende taratibu!

Unadhani kwanini kijana huyo aishi kama wewe unavotaka au jinsi wewe unavoishi?.

Na wapi imesemwa hereni ni ya mwanamke na si mwanaume?
 
Yaan mtu upo na ugumu wa maisha badala ya kuomba ushauri kwa vijana wenzio nini ufanye utoboe ukaona bora uanze kusengenya wengine,

Utatoboa kweli kwa hali hii?
 
Humu kuna mishoga inayotetea ushoga imejazana humu,sibora mvae siketi
 
Hii ni tafsiri mbaya ya baadhi ya wanaume wanaodhani kuwa ili mwanaume uonekane handsome ni lazima ujipambe kama wanavyofanya wanawake...
 
Yaan mtu upo na ugumu wa maisha badala ya kuomba ushauri kwa vijana wenzio nini ufanye utoboe ukaona bora uanze kusengenya wengine,

Utatoboa kweli kwa hali hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuuh lol
 
Twende taratibu!

Unadhani kwanini kijana huyo aishi kama wewe unavotaka au jinsi wewe unavoishi?.

Na wapi imesemwa hereni ni ya mwanamke na si mwanaume?
Umeulizwa tofauti yko na mkeo au dada yko ni nn ukiwa mtoto wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…