Inakuaje mpaka mwanaume unasuka, kutoboa sikio na kuvaa hereni au kuvaa kipini puani?

Ni mtazamo tu, makabila kadhaa ya kiafrika, asia, ulaya na marekani wanaume wamekuwa na wanakuwa wanavaa hivyo vyote ulivyotaja. Tatizo wasiendelee na kugawa tigo! Ila hayo mapambo hayatutishi..
 
Ni mtazamo tu, makabila kadhaa ya kiafrika, asia, ulaya na marekani wanaume wamekuwa na wanakuwa wanavaa hivyo vyote ulivyotaja. Tatizo wasiendelee na kugawa tigo! Ila hayo mapambo hayatutishi..
Km kabila lako lina mila hizo ni sawa ila km halina mila za kuweka kipini kwenye pua..
Kuna tofauti ya rasta za asili na rasta za wanawake za kubandika....
 
wanaita African pridooo, nili shangaa sana iko kwa wingi kwenye nchi walizo kaa wazungu wakandamizaji sanaaa, na walio soma sanaa. km USA, Canada, SA. Zimbabwe, Lesotho, Eswatin, Nigeria nk. yaani huko hata Rasta zako unauza hela ya maana million 2. na ukikamatwa na wahuni wanakwambia kabisa chagua moja tuchukue Rasta zako original au tukuue. huko hata Boss meneja kapiga kiduku

Tz wa hivi utawaona ni DSM, Arusha baaasi. sidhani km wote wanapumuliwa Rais mapanki wa korea kaskazi anapumuliwa? ila kimbembe ukiwa hivi mikoani bwanaweee!!! bila shaka mleta mada ni wa mikoani. usifanyie huko
 
Itakuwa anadumisha mila za mababu kama makabila yaliyobaki kudumisha mila wamasaai wanasuka na kutoboa masikio na kuvaa hereni wanaume, kiasili makabila yote Tz ni hivyo, kabla wakoloni hawajatu brain wash tubadili utamaduni.
 
UNAJUA USHOGA HAUJI KAMA CHAFYA....CHAAAAA! una dalili zake,
1.kufuga kucha moja ndefu
2. Kusuka nywele,au kunyoa kike kike
3. Kutoboa sikio, na kuvaa hereni

Baadaye:
4. Unaanza kuchonga nyuzi
5. Kuvaa nguo za kike kike ziliwepo chupi
6.kupakaa mafuta,lotion na pafyumu za kike
7. Kutembea na kuringa kama wa kike.

USHAURI:
hizo kalio ni zako na si mali ya taifa.Maamuzi ni yako kutumia kukalia au kulaliwa!! Pumb.avu na robo tatu
 
Kila MTU aishi Maisha Yake. Ingawa kama hauna sababu yoyote ile usifanye mambo ya wadada wewe wa kiume. Yaani sipatagi Picha mkaka unakaa kama Mdada unasukwa!!!! Daaaa au unakaa kwenye lile kofia la kutengenezea nywele za wadada. Likipata short Je ??? Wanaume tupo tofauti kweli
 
Unashangaa nywele?? Wewe wa wapi?? Wenzako wanasuka vuzi. Wanatoga lombo.wanatoga Matako.
Ulimi. Wanadhahabu mdomoni. Meno Tatoo za almasi kwa macho.
Wanabadirisha damu rangi.mikojo.kinyeo!
Mpaka milo wenzako wana badili mpaka utumbo, moyo.mifupank
Sasa weye unaleta mambo zako za porini huko. Sijui masai mara.
waaache

Kaongee na ngiri pori ndo hawabadiriki.

Zamani zetu walishangaa mwanaume kutembelea matako.kufyeka/kulima/kuvuna /kumwagilia kwa mashine.weye bado uko huko????
Leo hii duniani humu ukitamani maku unapewa.ukitaka rombo unapewa.usipotaka jinsia pia unapewa. Uliyo nayo inang'orewa!

Sema usaidiwe! weweunepungukiwa nini.au unatamani jinsia ipi upewe???? Utazaa vizuri tu! Siyo unalialia wivu hapa kijanja!

Dunia ya leo ina jinsia takribani saba na zinakubalika sasa wewe? Mputyuuu!!

acha hizo za ki mtwara bana Dunia iko tofauti sana.
 
Wenzako hua tuna toa pesa kwa agent wa gari aniweke na pis kali kwenye sit moja kuepuka hayo, ukikaa siti moja na pis kali safari inanoga sana fanya hivyo utakuja kunishukuru chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…