Inakuaje mtoto anageuzwa kitega uchumi?

Inakuaje mtoto anageuzwa kitega uchumi?

Wakati nyinyi munatusubiri sisi tumuelewe huyo kibakuli wenu ACHENI HUYU ANAYEPIGA HELA NA TULIYEMUELEWA KWAMBA ANAJUA KUTUMIA FULSA na atumie fulsa bila ya maswali yenu.

fursa mpaka kwa mwanao? shame on you
 
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi?

Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi?

Au ndio kutafuta umaarufu?

Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje huku Bongo watu wanakiuka haki za watoto.

Teh Teh Wazungu wanasema anayesema ukweli kila leo huwa si mwepesi wa kupoteza kumbukumbu!

Yani leo umekiri mwenyewe mtoto ni wa Diamond! Hivi kumbe sasa siyo wa katunzi tena au Ivan?
 
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi?

Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi?

Au ndio kutafuta umaarufu?

Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje huku Bongo watu wanakiuka haki za watoto.

We mwenyewe umetumwa kuuza vitumbua huko uswahilini kwenu mpaka umepata ugoko. Bi mkubwa wako haki za binadamu zinamuhusu sana. Alikutuma kuuza vitumbua wakati una miaka 8 tu.
 
We mwenyewe umetumwa kuuza vitumbua huko uswahilini kwenu mpaka umepata ugoko. Bi mkubwa wako haki za binadamu zinamuhusu sana. Alikutuma kuuza vitumbua wakati una miaka 8 tu.

mkuu weka ushahidi hapa
 
Hahahaha!!! Ukikosa chakufanya huwa unapatwa na Wivu Sana... Ya Tiffah Yakuume ww umekua Zari? badilika mkuu
 
Hahahaha!!! Ukikosa chakufanya huwa unapatwa na Wivu Sana... Ya Tiffah Yakuume ww umekua Zari? badilika mkuu

mkuu tunajaribu kutafuta suluhisho la uvunjwaji haki za watoto tanzania
 
mkuu weka ushahidi hapa

Kuweka ushahidi hapa ni kinyume cha taratibu za JF, lakini watu tunakujua vizuri bi mkubwa alianza kukutuma kuuza vitumbua tangu ukiwa na miaka 7 tu. Kwahiyo hao watu wa haki za watoto waanzie kwenu kwanza.
 
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi?

Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi?

Au ndio kutafuta umaarufu?

Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje huku Bongo watu wanakiuka haki za watoto.

Ulitaka amgeuze mke wake?? Kwani tatizo lako nini? anakuhusu nini? Paka kuanzisha uzi kila siku? Wa tiffah

Acha kumpa umaarufu bure
 
mawazo hayo eti mtu anajidanganya ukawa ikiingia madarakani maisha yatabadilika! aah wapii. watu badala mfanye kazi mtafute pesa ni majungu tu
 
mawazo hayo eti mtu anajidanganya ukawa ikiingia madarakani maisha yatabadilika! aah wapii. watu badala mfanye kazi mtafute pesa ni majungu tu

Wewe ndio huelew...

Haimaanish ukawa itawaletea pesa ila ita weka fulsa za pesa...

Mamii tumia akil kuwaza na kuelewa mambo
 
Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje uku bongo watu wanakiuka haki za watoto.
Hivi kwa akili yako kampuni kubwa kama NMB unatarajia haina marketing policy inayoelezea ni watu wa aina gani wanatakiwa kuwamo kwenye matangazo ya kibiashara? By the way, unaweza kunitajia ni haki zake zipi pale zinakiukwa? Kupigwa picha, au? Au umemuona Princess Tiffah Kariakoo anahamasisha watu wakanunue nguo za watoto Msasani Shopping Mall? Au ulitaka mambo yawe kama hivi:
Baby.jpg
 
Back
Top Bottom