Wakati nyinyi munatusubiri sisi tumuelewe huyo kibakuli wenu ACHENI HUYU ANAYEPIGA HELA NA TULIYEMUELEWA KWAMBA ANAJUA KUTUMIA FULSA na atumie fulsa bila ya maswali yenu.
Naona mkuu wewe umeshaanza kujitambua, haya waambie na wenzio kuwa yule ni mwanae.fursa mpaka kwa mwanao? shame on you
Yani we jamaa una gubu la wifi
Yani we jamaa una gubu la wifi
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi?
Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi?
Au ndio kutafuta umaarufu?
Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje huku Bongo watu wanakiuka haki za watoto.
Teh Teh huyu jamaa ni zaidi ya wifi....! Ni shida zaidi ya msiba...
mkuu hapa hakuna cha gubu wala nini isipokua tunawekana level tu
Kwenda wewe level my a.s.s
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi?
Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi?
Au ndio kutafuta umaarufu?
Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje huku Bongo watu wanakiuka haki za watoto.
We mwenyewe umetumwa kuuza vitumbua huko uswahilini kwenu mpaka umepata ugoko. Bi mkubwa wako haki za binadamu zinamuhusu sana. Alikutuma kuuza vitumbua wakati una miaka 8 tu.
Hahahaha!!! Ukikosa chakufanya huwa unapatwa na Wivu Sana... Ya Tiffah Yakuume ww umekua Zari? badilika mkuu
mkuu weka ushahidi hapa
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi?
Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi?
Au ndio kutafuta umaarufu?
Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje huku Bongo watu wanakiuka haki za watoto.
Huyu sijui ni penny, sijui Jokate au ni wema
khaaaaa sio kwa huu wivu jamani lazma ni mke mwenzie zari huyu
Huyu anatakiwa apigwe vipampu na diamond ndo ataacha wivuHuyu jamaa anawivu wakiume sana
mawazo hayo eti mtu anajidanganya ukawa ikiingia madarakani maisha yatabadilika! aah wapii. watu badala mfanye kazi mtafute pesa ni majungu tu
Hivi kwa akili yako kampuni kubwa kama NMB unatarajia haina marketing policy inayoelezea ni watu wa aina gani wanatakiwa kuwamo kwenye matangazo ya kibiashara? By the way, unaweza kunitajia ni haki zake zipi pale zinakiukwa? Kupigwa picha, au? Au umemuona Princess Tiffah Kariakoo anahamasisha watu wakanunue nguo za watoto Msasani Shopping Mall? Au ulitaka mambo yawe kama hivi:Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje uku bongo watu wanakiuka haki za watoto.