Wanakua na Ugonjwa huku mtaani tunaita "Kithethe" nafkiri ni ulimi.Watu wanaotamka ridhiki badala ya riziki wanakuwa na matatizo gani ya ulimi au ubongo?
Kithethe au kithembe?Wanakua na Ugonjwa huku mtaani tunaita "Kithethe" nafkiri ni ulimi.
Jaribu kuongea ulimi ukiwa katikati ya meno ya juu na chini utaona Riziki unasema Ridhiki
Eka ulimi katikati ya meno tamka kitu chochote kinachoanziwa na Z Kama Zombie, zuzu, zebra etc utaonaKithethe au kithembe?
Ila wenye kithembe huwa wanamatatizo na S sio Z, mfano sabuni, soda au samaki wao huwa wanatamka thabuni, thoda na thamaki.
Una uhakika hakuna tatizo?Shida ni kumuelewa tuuh Wala hamna tatzo hapo