Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Mjinga sana wewe, kwani huo mshaara unaolipwa ni pesa za akina nani?

Halafu majitu kama wewe akitokea raisi asiye entertain upuuzi na uzembe anawawajibisha hao public servants mnamchukia na kumuombea kifo..
wewe ndyo STUPID/IMBECILE/IDIOT/having spastic CEREBRAL PALSY, why cant u argue issues in a civilized way? your life predicament hazijasababishwa na mimi au serikali, don't argue issues based on your personal life difficulties (personalizing issues), I think JF members are mature enough to discuss issues in abstract terms.
 
Wewe ni mpumbavu tu haijalishi unatumia maneno gani kuonesha kukasirika kwako, una kinyesi kichwani badala ya ubongo.

Unatetea ujinga na ukosefu wa uadilifu kwa hoja za kishenzi halafu tukuache uendelee kutamba humu jukwaani?

Kwamba mtu akija kupata huduma kwenye ofisi za umma basi akunyenyekee wewe mtoa huduma hata kama huduma zako ni mbovu? Mjinga sana wewe Acha kazi achia wenye waledi na utu ndio wafanye hiyo kazi.
 
🤣Wanataka customer care kama ya hotel, au profit making firms, hata kwa huduma za kimishonari hakuna hicho unachotaka "mteja Mfalme" does not apply on every service, kwanza Hawa watumishi wanafanya KAZI kwenye mazingira yenye changamoto sana, halafu mnataka wawe wanigiza na fake smile au lugha za ki "air hostess"😇😆
Ebu acha zako, mazingira gani hayo yenye changamoto yanayosababisha kila mtu atake kufanya kazi TRA? Usitetee ujinga na mteja mfalme applies to every service. Hata kwa changudoa.
 
Wewe ni mpumbavu tu haijalishi unatumia maneno gani kuonesha kukasirika kwako, una kinyesi kichwani badala ya ubongo.

Unatetea ujinga na ukosefu wa uadilifu kwa hoja za kishenzi halafu tukuache uendelee kutamba humu jukwaani?

Kwamba mtu akija kupata huduma kwenye ofisi za umma basi akunyenyekee wewe mtoa huduma hata kama huduma zako ni mbovu? Mjinga sana wewe Acha kazi achia wenye waledi na utu ndio wafanye hiyo kazi.
😇🤣🤣Si wewe, ni life predicament you are in now, sita-argue na wewe tena, you are free to attack me in any style which pleases you.
 
Ebu acha zako, mazingira gani hayo yenye changamoto yanayosababisha kila mtu atake kufanya kazi TRA? Usitetee ujinga na mteja mfalme applies to every service. Hata kwa changudoa.
😇🤣Okay, I now understand the magnitude of your personal suffering, u can attack me as u wish, to calm down your nerves, you are always welcomed
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Kuna Watu wa ARDHI, dadeeeeeeeeeeeeki Kwanza ni wala rushwa balaaa na wanajifanya wajuaji, Ndugu zao Watu wa Mipango miji na vile vya Manispaa. Nenda Kinondoni, Temeke, Ilala na Ubungo. UJINGA mtupu, waaaambie sasa unataka kufanya biashara, hakuna rangi utakayoacha kuona.
 
They are. Ndio maana wanaitwa public servants.
Chuki yenu, kwa public servants ni misguided, u treat them as elected officials (politicians) who are supposed to serve the needs and wishes of the people who elected them😇
 
kwa nature ya kazi yangu sina migogoro na wateja, napata trophies za heshima zaidi, niko honored and blessed na wateja wangu kwa utumishi wa umma, mi nina stick to ethical principles za taaluma yangu, kitu mabacho pia huwa ni kikwazo kwa baadhi ya wateja wanotaka shortcuts na upendeleo, hao ndyo haters wangu
Kwanza hongera kama upo hivi. Sasa kama wewe umeweza kwa nini huyu jamaa asiweze? Strange unamtetea.
😇🤣Okay, I now understand the magnitude of your personal suffering, u can attack me as u wish, to calm down your nerves, you are always welcomed
This is not an attack but airing a different opinion to yours. What you're doing now is a personal attack.
 
Kwanza hongera kama upo hivi. Sasa kama wewe umeweza kwa nini huyu jamaa asiweze? Strange unamtetea.

This is not an attack but airing a different opinion to yours. What you're doing now is a personal attack.
Sijamtetea mtu, posting zangu nilikuwa najibu hoja ya kuwa-bkanketi watumishi wote wa umma kuwa wako horrible na ni sekta zoote, nikasema kwa nini tusiende kwenye isolated specific cases tukazijadili? nimeishia kutukanwa kama kibaka😆
 
Hata mimi sikubaliani na blanket accusations.
 
😇🤣🤣Si wewe, ni life predicament you are in now, sita-argue na wewe tena, you

😇🤣🤣Si wewe, ni life predicament you are in now, sita-argue na wewe tena, you are free to attack me in any style which pleases you.
Wewe ni kinabo tu mpuuzi mmoja hivi uko hapa unatetea uzembe na ukosefu wa uadilifu wa mfanyakazi mwenzio.

Watu mliopata ajira serikalini kwa kupigiwa pande na shemeji sijui mme wa Shangazi huwa mna matatizo sana na hamnaga waled.
 
Kuna Watu wa ARDHI, dadeeeeeeeeeeeeki Kwanza ni wala rushwa balaaa na wanajifanya wajuaji, Ndugu zao Watu wa Mipango miji na vile vya Manispaa. Nenda Kinondoni, Temeke, Ilala na Ubungo. UJINGA mtupu, waaaambie sasa unataka kufanya biashara, hakuna rangi utakayoacha kuona.
Watu wa ardhi walioko pale almashauri ya wilaya ya ilemela hasa yule dada Grace nina mpango wa kwenda kuwaroga nikishindwa kuwaroga nita hire hitmen kutoka Vietnam kwa ajiri yao.
 
Kwanza hongera kama upo hivi. Sasa kama wewe umeweza kwa nini huyu jamaa asiweze? Strange unamtetea.

This is not an attack but airing a different opinion to yours. What you're doing now is a personal attack.
You're welcomed always, for public service improvement discussion
 
Wewe ni kinabo tu mpuuzi mmoja hivi uko hapa unatetea uzembe na ukosefu wa uadilifu wa mfanyakazi mwenzio.

Watu mliopata ajira serikalini kwa kupigiwa pande na shemeji sijui mme wa Shangazi huwa mna matatizo sana na hamnaga waled.
😇😆niliingia public service by merit (voluntary employment post- graduation) no job advert, no interview, I am in a third decade now, sijawahi kuharibu, Kuna walioharibu na hawapo kazini tena (they were summarily dismissed)
 
Wengi(sio wote) ndivyo walivyo
Niliwahi kwenda TRA mwanza nilihudumiwa na huyo dada aisee mpaka nikatamani nisiondoke, anasikiliza kwa makini, anatoa maelezo yaliyonyooka, the problem was sorted. Nikampa hongera zake, kama kungekuwa na uwezekano watumishi wote wangetakiwa wawe kama yule.
Same pia, Nilikua na issue flani Dumila & Kilosa, Nikamkuta jamaa flani, Alinihudumia fresh mpaka nika maliza issue zangu.

So Customer care its more of a person japokua mfumo wa serikali unashindwa kuwatoa hao majoka
 
Back
Top Bottom