Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Wewe unawalea ,siku hizi ofisi nyingi wanaofficial page zao kwa bwana Elon hapo nenda katoe shida yako kwenye bandiko lao latest hapo ukitaja ofisi husika na ikiwezekana na majina au wajihi wa alikusnitch ,mimi siku hizi huwafanyia hayo
 
Same pia, Nilikua na issue flani Dumila & Kilosa, Nikamkuta jamaa flani, Alinihudumia fresh mpaka nika maliza issue zangu.

So Customer care its more of a person japokua mfumo wa serikali unashindwa kuwatoa hao majoka
I thank you 👍, wanaozingua ni wachache, lakini ndyo wenye access ya kuhudumia watu wengi, lakini tuwa-motivate wale ambao ni ethical
 
Mfano ni services gani hii slogan ya mteja mfalme haiwezi kuapply?
"Mteja Mfalme" ni idea ya customer experience kwa commercial service/busness za profit making, zenye kupambana na competitors/rivals, wana chezea price alterations na quality (two variables-Price na Quality experience), the same product but different price and quality experience, na mteja mwenye uwezo anaweza kuzuia wateja wengine wasipate huduma kama anyopata yeye i.e ana monopolize.
 
Hawa wafanya kazi serikalini 90% hizi ndio tabia zao. Hawa watu badala ya kutoa shukurani za dhati kwa kuwahudumia wananchi kwa ajili ya bahati ya kuajiriwa na kulipwa kwa jasho la huyo unae msubua wao ndio wanazidi kuonesha majivuno ya wazi na dharau.
Inauma sana
 
Unawezaje kuajiriwa kwa bahati/hisani? , na salary anayopata si hisani ana-toil kuipata, na si mshahara mzuri, stahiki nyingi hazipati, pia yeye ana changamoto kama zako, don't hate them Hawa si directly employed by citizens as u think
 
Jibu hoja sio mbwembwe.
Inakuwaje hawawapi wananchi huduma nzuri na bila dharau wakati hao wananchi ndio waajiri wao,?
 
🤣nipe mfano wa huduma mbaya uliyo experience, kumbuka ktk ku-define qualify service delivery, Kuna issue ya "information asymetry" ukienda hospital uka-experience a very friendly quality service (Perceived), how do you know kuwa umepewa correct treatment kwa ugonjwa wako?? twende taratibu usiponielewa basi IQ yako itakuwa ni single digit i.e Lunatic/idiot
 
Hapana sio hivyo mkuu. Nilitoka nyumbani nikiwa ninehesabu pesa zangu vizuri zimetimia nilipompa cashier akajifanya anahesabu kwa mikono kabla ya kuhesabu kwa mashine. Alipozihesabu kwa kutumia mashine ikapungua note moja ya 10000 kumbe aliidondosha chini kwa makusudi ili baadaye nikiondoka aichukue ale.
Aah ,kumbe asante kwa kutuongezea mbinu za kufahamu matapeli
 
🤣nipe mfano wa huduma mbaya uliyo experience, kumbuka ktk ku-define qualify service delivery, Kuna issue ya "information asymetry" ukienda hospital uka-experience a very friendly quality service (Perceived), how do you know kuwa umepewa correct treatment kwa ugonjwa wako?? twende taratibu usiponielewa basi IQ yako itakuwa ni single digit i.e Lunatic/idiot
Wewe ukipewa huduma ya chini ya kiwango hujui ? au mpaka uwe na master au Phd ndio ufanye analysis ?
Hapa hatuzungumzii mapugufu ya resources au miundo mbinu kutimiza haja za watanzania. tunajua Tanzania Haina uwezo kamili wa kifedha. Hapa tunazungunzia vipi watumishi wa umma wanavyo dharau wananchi kuanzia wanavyozungumza nao, kuwapuuza na kutowahudumia ipasavyo hata kama Kuna uwezekano.
Ngojeni dawa yenu ipo kwenye moto wakati itakuwa kila mwananchi akipokea huduma ana toa tathmini na feedback kwa ubora wa huduma aliopewa. Na hii itakuwa kwa njia ya mtandao sio makaratasi ambayo wamezoea kuyaghushi.
Dawa Iko motoni. Hupati score nzuri kutoka kwa kwa wananchi ulio wapa huduma kibarua kinamwagika mchangani urudi mitaani uone raha ya kusumbua watu
 
una elimu gani ya kuwa expert wa everything?, elimu uliyonayo hata iwe advanced you know best about your profession not eveything, so ukiwa operated na surgeon kwa elimu yako una comprehend kuwa procedure ilifanyika to the standard na it was really indicated kufanyiwa 😛 sasa we umesoma level gani hauwezi ku-acknowledge na kuelewa issue ya information asymmetry. ndyo maana kuna issue ya consumer protection, na wewe kwa ujuaji na inferiority complex uliyonayo towards civil servants, utaishi maisha ya kuteseka sana, na hata sasa unonyesha dalili zote za delusional schizophrenia, without help your future is doomed (inescapable tragedy outcome)
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Watumishi wengi ni mapimbi, utafikiri hawatastaafu
 
hao watumishi wanakuhudumia kwa jinsi ulivyo,wanavyokupokea kutokana na muonekano wako
Ukienda kinyonge utahudumiwa kinyongeee...

ova
 
Wewe ukipewa huduma ya chini ya kiwango hujui ? au mpaka uwe na master au Phd ndio ufanye analysis ?
Hapa hatuzungumzii mapugufu ya resources au miundo mbinu kutimiza haja za watanzania. tunajua Tanzania Haina uwezo kamili wa kifedha. Hapa tunazungunzia vipi watumishi wa umma wanavyo dharau wananchi kuanzia wanavyozungumza nao, kuwapuuza na kutowahudumia ipasavyo hata kama Kuna uwezekano.
Ngojeni dawa yenu ipo kwenye moto wakati itakuwa kila mwananchi akipokea huduma ana toa tathmini na feedback kwa ubora wa huduma aliopewa. Na hii itakuwa kwa njia ya mtandao sio makaratasi ambayo wamezoea kuyaghushi.
Dawa Iko motoni. Hupati score nzuri kutoka kwa kwa wananchi ulio wapa huduma kibarua kinamwagika mchangani urudi mitaani uone raha ya kusumbua watu
Phd ndyo Elimu ya kujua kila kitu beyond your profession🤣.So ukiwa msomi ukienda kwa Dr- Surgeon unaweza elewa detailed surgical (upasuaji) procedures aliyokufanyia? ilewa issue ya I formation asymetry , ukiishi kama mjuaji sana u will end up as Schizophrenics
 
Hawa wafanya kazi serikalini 90% hizi ndio tabia zao. Hawa watu badala ya kutoa shukurani za dhati kwa kuwahudumia wananchi kwa ajili ya bahati ya kuajiriwa na kulipwa kwa jasho la huyo unae msubua wao ndio wanazidi kuonesha majivuno ya wazi na dharau.
Inauma sana
90%??, Kwani wanalipwa kama hisani au wanalipwa kwa ujuzi na KAZI zao, and they are underpaid, you "r preoccupied with utopian nonsense!
 
Jibu hoja sio mbwembwe.
Inakuwaje hawawapi wananchi huduma nzuri na bila dharau wakati hao wananchi ndio waajiri wao,?
Wananchi si waajiri wao, are u still living in communist era(UTOPIA)? U have too much expectation kwa civil servants, hiyo ndyo shida.
 
Watanganyika tunapenda sana kunyenyekea. Tunajinyenyekeza kizembe. Sehemu pekee ya kujinyenyekeza ni taasisi za jeshi maana mule hata wanasiasa wana mipaka, huku kwingine jiamini.
 
Back
Top Bottom