Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Wabongo tuna shida ndio maana tunaonewa kipumbavu.ID unayotumia humu ni fake halafu unaogopa kusema ni ofisi gani na ni mtendaji gani?
Hizi sura za uoga uoga ndio watu wanaingia nazo kwenye ofisi za serikali ndio maana watumishi wanawaonea.
Huo ujinga umenipitia mbali,as long as najua ya kwamba ni haki yangu kuhudumiwa jambo fulani sehemu fulani
 
Duuh...mnanitisha...nina suala langu Nida huko huu mwaka wa 7 linanisumbua....nmeomba ruhusa kesho nataka nitimbe makao hapo...sasa kwa hali hii nitatoboa kweli?
Wala usiende kinyonge utahudumiwa vzr tu..wengine hawana shida wanatoa huduma nzuri
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Mtumishi wa umma hatakiwi kuwa KIBURI na kwa upande mwingine asiwe MNYONGE.

*Wakati mwingine wananchi tunakuwa wakuda na roho mbaya kwa wafanyakazi wa serikali.
 
Ulishindwa nini kuchukua video
Huwa natamani nikutane na watu wa hivyo make mi sinaga uvumilivu kwenye ujinga
 
Shida nyingine ni kwamba mtu anapata kazi kwa connection kwa hiyo akiwa pale humwambii chochote yaani. Na vile wanapata pesa ya bure mbona mtakoma.
Wengine wameweka sanduku la maoni kama gheresha tu huwa hata hawajisumbui na hayo maoni
 
RITA nina ushuhuda nayo Ila jibu lilipatikana siku hiyo na mpaka sasa Yule dada hatanisahau
Mimi kuna hospital moja wana ushuhuda na mimi,wao siwanajikutaga wanashikilia roho za watu mikononi?yule mtu haji kusahau siku ile,HESLB nao wana ushuhuda wangu pia yule mkurugenzi pale mwenge ana ushuhuda
 
kwa nature ya kazi yangu sina migogoro na wateja, napata trophies za heshima zaidi, niko honored and blessed na wateja wangu kwa utumishi wa umma, mi nina stick to ethical principles za taaluma yangu, kitu mabacho pia huwa ni kikwazo kwa baadhi ya wateja wanotaka shortcuts na upendeleo, hao ndyo haters wangu
Unawa handle vipi wanaotaka shortcuts na upendeleo DR VRM
 
Ww ni mwananch umeenda kupata uduma ww sio mteja
Wateja wako madukan ila sio ofs za serikal
 
Ujinga ulianzia kwenye permanent and pensionable. Mamtu yangekua yanakatishwa mikataba due to failure to meet expected performance standards mbona wangekua wanajibu wateja vizuri tu
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Mkuu hii si kwa watumishi wa umma tuu,bali watanzania wote issue ya customer care ni shida kubwa sana,
Unakuta mtu kafungua duka ili auze,lakini ukimuuliza bei za vitu anaona hasira eti unamsumbua.
Japokuwa wengi ni waajiriwa hawajui mshahara wanaolipwa unatokana na maduka hayo hayo.
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
atakuwa alikuwa kwenye siku zake
 
Ujinga ulianzia kwenye permanent and pensionable. Mamtu yangekua yanakatishwa mikataba due to failure to meet expected performance standards mbona wangekua wanajibu wateja vizuri tu
hizo taratibu zipo, na kuna watu wanakuwa demoted au kuwa redundant (annual performance appraisal), changamoto ni pale wewe unakuwa na haraka sana, eti usipopendezwa na huduma, basi mtu apate instant dismissal, kama vibarua wa gabachori, ji-tune kisaikolojia uta ishi nao vizuri, tatizo unaenda kupata huduma ukiwa na preconceived bias
 
Back
Top Bottom