DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Unahitaji kuwa na mwanamke ili upate mwanamke. Kama ilivyo ukiwa na pesa unapata pesa.Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena by any means ili uwe naye.
Wanawake wengi wakibongo wanaishi katika illusion Sana that is way MTU ambaye yupo na familia yake tayari anakuwa anaweza kukubaliwa na mwanamke kuliko MTU ambaye yupo single senior bachelor
NB , mimi hii michezo naijua yote Ila nimeamua kuvaa viatu vya love seekers.
Sasa anko kama unamiliki mtoto mkali unahangaika nn na wanawake wasiojielewa?unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic
Bila kutongoza utapataje wa ubavu? Au huko Dar mnaletewa milangoni?Kumbe kuna watu mpaka leo bado mnatongoza?
Dear, ukiitika ushakua wanguBila kutongoza utapataje wa ubavu? Au huko Dar mnaletewa milangoni?
Nampiga ngwala nakula tunda.Bila kutongoza utapataje wa ubavu?
🤣🤣 mmekuwa wavivu au shida nini?Dear, ukiitika ushakua wangu
Sasa anko kama unamiliki mtoto mkali unahangaika nn na wanawake wasiojielewa?
Sisi wa tabaka la chini na la Kati ukishakua na pisi Moja kali na ya malengo bas kwingine hatutongozi akijichanganya anapigwa miti nkichomoa mkataba unaishia hapoNimetumia kuwawakilisha personally Mimi huwa sitongozi mwanamke yeyote Ila huwa ikitokea mwanamke anapenda my life naishi anaweza kuomba nafasi au gap akikubaliwa sawa na akikataliwa sawa.
Mimi nshatoka zama kutafuta wanawake Mimi natafutwa na napima quality Ila huu Uzi nimeandika kuwawakilisha watabaka la Kati.
s
Kweli mkuu upo sahihi , ukishakuwa Tabaka la kati na la chini unabidi kujiepusha kupiga mipira iliyokufa unaweza kujiingiza king.Sisi wa tabaka la chini na la Kati ukishakua na pisi Moja kali na ya malengo bas kwingine hatutongozi akijichanganya anapigwa miti nkichomoa mkataba unaishia hapo
Bibi upoWacheni uasherati na uzinzi.
Oaneni.
Wazee kama injini za Carina, bila lubricant haiwaki!!Wacheni uasherati na uzinzi.
Oaneni.
Muda mchache mambo mengi!![emoji1787][emoji1787] mmekuwa wavivu au shida nini?
Dadekiiii[emoji120][emoji120][emoji120]Unaishi wapi mkuu?? Siku hizi huku hakuna kutongozana!! Ukimwita mtu Dear akaitika huyo wako