Inakuaje sare za Jeshi zishonwe na raia, akiwawekea sumu SI watakufa kama Mende awa?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?

Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
 
Ni tender lakini anayeipata lazima afanyiwe vetting ya hali ya juu sana
 
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?

Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
Hivi kuna sumu ambazo mtu anaweza kuweka kwa chakula na hazina harufu?
 
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?

Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
Akili yako ni fupi sana ndomana imeishia hapo kufikiria. Wewe unadhani huwa zinashonwa tu na kupewa kwa walengwa moja Kwa moja eh?
 
Kwa wema kabisa, naweza kuzifahamu? Nina panya wananisumbua balaaa na ukiweka chakula chenye sumu ya kawaida hawali
Akili yako ni fupi sana ndomana imeishia hapo kufikiria. Wewe unadhani huwa zinashonwa tu na kupewa kwa walengwa moja Kwa moja eh?
Zinapelekwa wapi baada ya kushona? Kwa akili yako inavyokutuma.........Umelewa?
 
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?

Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
Hii ni hatari tenda kama hizi kupewa madalali kama Angel, Lugumi. Kipaumbele chao ni kupiga cha juu sio ubora.

Nchi ikiwa kwenye vita na mataifa yanayojitambua yanaweza kufanya kama Israel ilivyofanya kwa Hizbollah.
 
Polisi watatoaje tenda wakati wana mafundi wao pale kilwa road jijini dar? Ni kweli sare za polisi utakuta zinashonwa na mkandarasi raia mtaani, naona kama ana matawi yake mikoani
 
Hiyo Tender invoice ukiangalia utalia. Kofia ambazo zinaweza kushonwa hapa au CHINA zina bei ya dollar 25 kwa moja? Hii ni haki kweli
 
Hiyo ndio standard ya kofia ya askari kiwango cha chini,shida ni kwamba inaandikwa hii inaletwa ya $3😭😭.
 
Back
Top Bottom