Ni tender lakini anayeipata lazima afanyiwe vetting ya hali ya juu sanaInatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
Hivi kuna sumu ambazo mtu anaweza kuweka kwa chakula na hazina harufu?Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
Kwanini zisiwepo?Hivi kuna sumu ambazo mtu anaweza kuweka kwa chakula na hazina harufu?
Akili yako ni fupi sana ndomana imeishia hapo kufikiria. Wewe unadhani huwa zinashonwa tu na kupewa kwa walengwa moja Kwa moja eh?Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
Kwa wema kabisa, naweza kuzifahamu? Nina panya wananisumbua balaaa na ukiweka chakula chenye sumu ya kawaida hawaliKwanini zisiwepo?
Kwa wema kabisa, naweza kuzifahamu? Nina panya wananisumbua balaaa na ukiweka chakula chenye sumu ya kawaida hawali
Zinapelekwa wapi baada ya kushona? Kwa akili yako inavyokutuma.........Umelewa?Akili yako ni fupi sana ndomana imeishia hapo kufikiria. Wewe unadhani huwa zinashonwa tu na kupewa kwa walengwa moja Kwa moja eh?
Hii ni hatari tenda kama hizi kupewa madalali kama Angel, Lugumi. Kipaumbele chao ni kupiga cha juu sio ubora.Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu palizi SI mnakufa kama Mende nyieeee?ngojeni niipate hiyo tenda ntawauwa kama kamwani🤣😂😆
Kumbe bado hujui vitu vingi sana bwasheeSumu kwenye sare .?
Penda sana kujisomea vitabu mbali mbali itakuepusha na aibu ndogo ndogo kama hizi nduguSumu kwenye sare .?
Akili zako ndo hazipo sawa unadhani ni kama sare za wana kwaya;Zinapelekwa wapi baada ya kushona? Kwa akili yako inavyokutuma.........Umelewa?
Zinapelekwa wapi kama akili zako zipo sawa? Umepitia jeshini wewe punda? USIBISHE WAKATI HUJUI LOLOTE PUMBAVU WEWE.Utakufa ukiwatetea mafisadi na watoto zao pumbavu wewe.Akili zako ndo hazipo sawa unadhani ni kama sare za wana kwaya;
Hiyo Tender invoice ukiangalia utalia. Kofia ambazo zinaweza kushonwa hapa au CHINA zina bei ya dollar 25 kwa moja? Hii ni haki kweliPolisi watatoaje tenda wakati wana mafundi wao pale kilwa road jijini dar? Ni kweli sare za polisi utakuta zinashonwa na mkandarasi raia mtaani, naona kama ana matawi yake mikoani
Hiyo ndio standard ya kofia ya askari kiwango cha chini,shida ni kwamba inaandikwa hii inaletwa ya $3😭😭.Hiyo Tender invoice ukiangalia utalia. Kofia ambazo zinaweza kushonwa hapa au CHINA zina bei ya dollar 25 kwa moja? Hii ni haki kweli