Inakuaje sare za Jeshi zishonwe na raia, akiwawekea sumu SI watakufa kama Mende awa?


Dili kama hizo huwa zina watu kibao, huyo mshonaji/supplier anapewa mchongo tu...
 
Tayari mtu amesha Shiba ugari wake, kapata nguvu yakutugombanisha! Anyway una kitu '' usikilizwe
 
Akili huna mzee,,,kwahyo unaona hapo nawatetea mafisadi 😄😄😄
Wewe ni mpumbavu sana na mshenzi mkubwa wewe. Hutumii akili wewe fala. Unatumia makalio yako kwenye kufikiri pumbavu sana. Kamwite mama yako huyo mwenye sura mbaya "MZEE" fala wewe.
 
Dili Za Akina Angela K
Na Watu Wake
 
Hii Tanzania ni nchi kweli yenye viongozi wenye kujielewa?
Uliyosema yanafikirisha sana,
Jeshi la polisi lina askari wagapi nchi zima?
Miaka 60 ya uhuru wa nchi, viongozi wameshindwa nini kuwekeza kuwa na kiwanda cha maaskari kwa ajili ya uzalishaji wa unforms zao?
Hivi mtandao wa Halotel mmiliki wake mkuu si ni jeshi la Vietnam na Jk naye akiwa na share mle au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…