DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ndoa na kuoa ni jambo zuri na la heshima na MTU kupata mazishi ya heshima pia ni jambo zuri .
Ila huwa nafatilia vifo vingi hasa katika familia masikini vinatokana na ukosefu wa fedha za matibabu.
Kuna wakati familia inamchangia MTU harusi au sherehe ambayo inaweza Ku-cost hela nyingi lakini MTU huyo huyo aliyechangiwa pesa au fedha kwa ajili ya harusi yake siku akiumwa anaachwa na Ana we za kupoteza maisha Kwa kukosa pesa ndogo tu.
Jamii zetu zinabidi pia kujifunza utamaduni wa kujitoa Kwa MTU Kwa njia chanya in positive way hii itasaidia sana .
Kuna jambo limetokea leo nimelitafakari kuanzia katika tukio la kariakoo na katika jamii zetu kwamba hizi social events ni muhimu kuliko uhai wa MTU .?
Huu utamaduni sio mzuri ni bora MTU umpambanie hadi mwisho kuliko kurushiana mpira.
Unapanda bus kutoka Dar to Bukoba nauili ni 100K ili ukamzike mgonjwa ambaye amekufa Kwa kukosa matibabu ya 35K
Naamini katika Mipango ya Mungu Ila pia Mimi ni muumini wa kujitoa mpaka mwisho.
"We need to change our mind set "