Inakuaje watu mnaoaminika kuwa na akili nyingi mnaingizwa chaka na manabii fake?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana.

Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake?
 
Siuwataje wakenya hao
Ndugu zenu majirani zetu mjitafakari sana
 
Itakuwa kwenye kipengele hicho sisi bado tupo vizuri, au pia yawezekana sisi Tanzania hatujapata mchungaji wa kututia kwenye jaribu kubwa kiasi hicho.
 
Hawa wanaotapeliwa huku nyumbani hamuwaoni??
 
Itakuwa kwenye kipengele hicho sisi bado tupo vizuri, au pia yawezekana sisi Tanzania hatujapata mchungaji wa kututia kwenye jaribu kubwa kiasi hicho.
Kwetu ni kuliwa pesa tu
Akuue pesa yako ataipataje??
 
Kuna nchi moja Africa ya mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa Kazi Sana Sasa imekuaje mkaingia king ? Kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake.?
Imani za watu hizo.
 
Mbongo ukimpa somo linalohusisha kujitoa uhai haumpati tena. Ndio maana hawa wa huku wanastyle za kupiga noti tu kimya kimya.
 
Kuna nchi moja Africa ya mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa Kazi Sana Sasa imekuaje mkaingia king ? Kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake.?
Imani bro
Imani
Imani
Inauwezo wa kuhamisha milima
 
Kuna wakenya na wanaijeria then south africa huko ndo kuna vituko kabisa😂😂
 
Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana.

Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake?
Pale unaposikia vita dhidi ya extremism ni jambo la kweli na halisi,mtu anapofikia level hiyo akili haifanyi kazi tena,anabakia kuburuzwa na aliye mwamini,alicho kiamini,imani sio mbaya ila inapoelekea au Kuwa extrem.
 
Mbona ushangai mtu ana phd msomi ni waziri na anaenda kwa mganga
 
Itakuwa kwenye kipengele hicho sisi bado tupo vizuri, au pia yawezekana sisi Tanzania hatujapata mchungaji wa kututia kwenye jaribu kubwa kiasi hicho.
Ya Moshi umeyasahu ukuyaona
 
Back
Top Bottom