Inakuaje watu mnaoaminika kuwa na akili nyingi mnaingizwa chaka na manabii fake?

Inakuaje watu mnaoaminika kuwa na akili nyingi mnaingizwa chaka na manabii fake?

Hao wametoa kafara Ili wapande daraja, ezekiel yupo kwenye list ya manabii wa uongo kwa East Africa.
 
Kuna wakenya na wanaijeria then south africa huko ndo kuna vituko kabisa😂😂
na ndio the giants of Africa. huko ndio pesa zilipo. sasa hizo nchi zilizobaki, ni kitu gani cha maana unachoweza kuwapora wananchi wake?
 
na ndio the giants of Africa. huko ndio pesa zilipo. sasa hizo nchi zilizobaki, ni kitu gani cha maana unachoweza kuwapora wananchi wake?
 
Attachments

  • Screenshot_20230429-200641.png
    Screenshot_20230429-200641.png
    248.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom