DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwetu ni kuliwa pesa tuItakuwa kwenye kipengele hicho sisi bado tupo vizuri, au pia yawezekana sisi Tanzania hatujapata mchungaji wa kututia kwenye jaribu kubwa kiasi hicho.
Imani za watu hizo.Kuna nchi moja Africa ya mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa Kazi Sana Sasa imekuaje mkaingia king ? Kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake.?
Huku kwetu mbna moshi waliuawa kwa kukanyagana, kisa kukanyaga mafuta.Hawa wanaotapeliwa huku nyumbani hamuwaoni??
Walevi wa siasaTanzania kiingereza ni lugha ya walevi
Imani broKuna nchi moja Africa ya mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa Kazi Sana Sasa imekuaje mkaingia king ? Kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake.?
🤣🤣🤣Walevi wa siasa
Mwamposa yupo anawaibia kila sikuItakuwa kwenye kipengele hicho sisi bado tupo vizuri, au pia yawezekana sisi Tanzania hatujapata mchungaji wa kututia kwenye jaribu kubwa kiasi hicho.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mbongo ukimpa somo linalohusisha kujitoa uhai haumpati tena. Ndio maana hawa wa huku wanastyle za kupiga noti tu kimya kimya.
Pale unaposikia vita dhidi ya extremism ni jambo la kweli na halisi,mtu anapofikia level hiyo akili haifanyi kazi tena,anabakia kuburuzwa na aliye mwamini,alicho kiamini,imani sio mbaya ila inapoelekea au Kuwa extrem.Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana.
Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake?
Ya Moshi umeyasahu ukuyaonaItakuwa kwenye kipengele hicho sisi bado tupo vizuri, au pia yawezekana sisi Tanzania hatujapata mchungaji wa kututia kwenye jaribu kubwa kiasi hicho.