Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
PHP:
Mzee DC unafikiri kuna mtu anapenda kuoa au kuolewa na mtu ambae hafai? Hivi unafikiri walio oa/kuolewa na wanasumbuliwa na wenza wao hizo tabia zilionekana wakati wa uchumba? wanandoa wengi wanajuana tabia kwa undani baada ya kuoana na kuishi pamoja na hapo inakua too late.
Na kama umebahatika kupata mke ambae hana vimbwenga ila tu madhaifu ya kibinadamu mshukuru tu Mungu kwa kukuongoza na usije chukulia for granted kua hata ukiachana na huyo basi utampata mwingine ambae pia atakua hana vimbwenga.
Ni kweli tupu...........ni rahisi kumpoenda usiyemfahamu ukidhani umepata lakini mara nyingi umepatikana...............