Inakuaje!

PHP:
Mzee DC unafikiri kuna mtu anapenda kuoa au kuolewa na mtu ambae hafai?   Hivi unafikiri walio oa/kuolewa na wanasumbuliwa na wenza wao hizo  tabia zilionekana wakati wa uchumba?  wanandoa wengi wanajuana tabia kwa  undani baada ya kuoana na kuishi pamoja na hapo inakua too late.
 
Na kama umebahatika kupata mke ambae hana vimbwenga ila tu madhaifu ya  kibinadamu mshukuru tu Mungu kwa kukuongoza na usije chukulia for  granted kua hata ukiachana na huyo basi utampata mwingine ambae pia  atakua hana vimbwenga.

Ni kweli tupu...........ni rahisi kumpoenda usiyemfahamu ukidhani umepata lakini mara nyingi umepatikana...............
 
Thank you for this useful post
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…