Nikiwa Kama Kijana
Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili.
Kwa Pesa Hzo Niko Njia
Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya:
-Ninafikiria Kununua Digital
Kamera Ili Niwe Mpiga Picha Mitaani
-Nifungue Banda La Kuonesha Mpira(video Ninavyo)
Tafadhari Wakuu.
Ushauri Wako Tu,Ni Mkombozi Tosha kwangu (niko DAR),Nawasilisha Kwa Kutanguliza Shukrani na Salam !