inakusu hii mwana JF.jibu apate funzo!

inakusu hii mwana JF.jibu apate funzo!

Joined
Apr 17, 2013
Posts
38
Reaction score
2
wana Jamii forum;
hivi unaweza kunisaidia vyema kwa unaejua hii.
Hivi mtu akiwa na diploma ya LABORATORY TECHNICIAN analipwa mshahara kiasi gani serikalini;
pia na mtu mwenye BACHELOR IN LAB TECHNICIAN analipwa mshahara kiasi gani serikalini..
Nawaombeni sana wana Jamii forum mnisaidie kuusu hili please.
 
Back
Top Bottom