Kwasababu hiyo ni puzzle halisi iliyosolve puzzle fichi.Japo ndio kiumbe mwenye akili kuliko wenzake hapa Duniani.
Ila kwa maisha yake yote anagharamia.
Lazima, alipie maji, nyumba, umeme, mavazi, chakula, usafiri, matibabu , mapenzi n.k.
Yaani hata Konokono kamshinda maana ana nyumba yake na halipii kodi.
Bado akili hazijafika mbali maana mpaka sasa tumeshindwa kuishi maisha bora bila ya gharama.Tungeweza kuishi maporini na kula matunda pori, mizizi, majani na raw meat...
Lakini akili na maarifa yaliyofanya uvumbuzi wa vitu mbalimbali yanapaswa kugharamikiwa...
Bado akili hazijafika mbali maana mpaka sasa tumeshindwa kuishi maisha bora bila ya gharama.
Natural ni kutumia limao badala ya vinegar, limao utachuma vinegar utanunua.Is this artificial and what is natural .
Kabisa.Binadamu hana akili kabisa kila kitu Ana struggle kupata kila kitu.
Ni kweli mkuu. Tunahangaika kwakuwa tunauharibu mpango wa Mungu juu yetu.Kabisa.
Nyani halimi. Tunalima sisi anakula.
Tunatenga mbuga, tunaweka wanyama tunaenda kuwaangalia wanyama wenzetu tunalipia.
Mtu akisikia njaa akiwinda swala ale anafungwa..
Tumewekeana mipaka tusivuke mwenda nchi nyingine lakini sisimizi na siafu wanavuka Bure.
Tumeharibu maisha yetu wenyewe.
Matayo 6:25
Neno: Bibilia Takatifu
Msiwe Na Wasiwasi
25 “Kwa hiyo nawaambia, msiwe na wasiwasi kuhusu maisha yenu: mtakula nini au mtakunywa nini; au kuhusu miili yenu: mvae nini. Kwani maisha si zaidi ya chakula? Na mwili zaidi ya mavazi?
Matayo 6:26
26 Waangalieni ndege wa angani: wao hawapandi wala kuvuna wala kuweka cho chote ghalani. Lakini Baba yenu wa mbinguni anawali sha. Je ninyi, si wa thamani zaidi kuliko ndege?
Neno: Bibilia Takatifu
Ukweli ni kwamba binadamu was not designed for foraging kabisa kabisa.Ni kweli mkuu. Tunahangaika kwakuwa tunauharibu mpango wa Mungu juu yetu.