secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hahaha 😂 🤣Tunatenga mbuga, tunaweka wanyama tunaenda kuwaangalia wanyama wenzetu tunalipia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha 😂 🤣Tunatenga mbuga, tunaweka wanyama tunaenda kuwaangalia wanyama wenzetu tunalipia.
Mapori hayahaya ya serikali?Kulipia huduma ni matakwa ya mtu binafsi,hakuna aliyemlazimisha mtu kulipia
1.Ukitaka usilipie Nyumba nenda porini fyatua tofali Jenga yako uishi Bure
2.Ukitaka usilipie umeme,Jitengenezee umeme au Jitengenezee Koroboi/Kibatari weka mafuta ya zeituni iwake uendelee na maisha
3.Ukitaka usilipie Maji nenda hapo kwako chimba kisima Kwa kutumia sululu na jembe ili uji mwayemwaye
4.Ukitaka usilipie usafiri tembea Kwa miguu au Tafuta punda ufuge,wengine uwafanye kama usafiri
5.Ukitaka usinunue Chakula,nenda porini fyeka vichaka lima mashamba yakupatie nafaka na mboga mboga
6.Ukitaka usinunue nguo,tengeneza shamba panda pamba na ujitengeneze nguo zako!
Ukifanya hayo hizo gharama zisizo za lazima utaziepuka!
so sisi ni midebwedo au sio...!🤣Ukweli ni kwamba binadamu was not designed for foraging kabisa kabisa.
Hata ukiangalia muundo wa miili yetu ni milaini na Haina nguvu. Haikuumbwa hii miili ijitafutie bali Lengo lilikuwa tukae tulishwe kama mana jangwani vile sema ndio Adam na Eva wakazingua.
Angalia wanyama wengine wana kucha Kali, ngozi nzito, meno makali na macho yanaona mpaka kwenye Giza plus mbio za maana.