Umeeleza kwamba huko kwenye kumbi ndipo kuna madhambi?Basi,hizo nyimbo ndiyo sahihi ili nyoyo zao ziwe laini.Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;
1.Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva.
2.Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe.
Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna Mungu kama wewe" kumbuka Ndani ya hizo kumbi kuna Anasa na Uchafu wa kila aina...Kama nitapewa majibu kwa kutumia maandiko nitashukuru sana!!
( Tumsifu kristo)
Yesu alikula pamoja na walevi na makahaba..kumaanisha kwamba wagonjwa ndio wanahitaji daktari..hata shetani haangaiki na waovu anahangaika na walio lipokea neno ili awaangushe.Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;
1.Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva.
2.Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe.
Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna Mungu kama wewe" kumbuka Ndani ya hizo kumbi kuna Anasa na Uchafu wa kila aina...Kama nitapewa majibu kwa kutumia maandiko nitashukuru sana!!
( Tumsifu kristo)
Ajabu ni kuwa huwezi kukuta qaswida barHili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;
1.Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva.
2.Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe.
Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna Mungu kama wewe" kumbuka Ndani ya hizo kumbi kuna Anasa na Uchafu wa kila aina...Kama nitapewa majibu kwa kutumia maandiko nitashukuru sana!!
( Tumsifu kristo)
Ajabu ni kuwa huwezi kukuta qaswida bar
Uislamu hauna nyimbo hao wanoimba izo qaswida ni matamanio yao tu lkn si mafundisho ya UislamuHivi hizo kaswida huwa zinauzika kweli? Mimi napenda watu woote tuache miziki ya kidunia tushindane kidini coz sisi wakristo nyimbo zetu za din mpaka marekani unazipata [emoji23][emoji23][emoji23]
Luka 5:27-32Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;
1. Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva.
2. Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe.
Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna Mungu kama wewe" kumbuka Ndani ya hizo kumbi kuna Anasa na Uchafu wa kila aina.
Kama nitapewa majibu kwa kutumia maandiko nitashukuru sana!
( Tumsifu kristo)
Na bongofleva kupigwa kanisani nako hii imekaaje mana inaniumiza mnoYesu alikula pamoja na walevi na makahaba..kumaanisha kwamba wagonjwa ndio wanahitaji daktari..hata shetani haangaiki na waovu anahangaika na walio lipokea neno ili awaangushe.
Injili inawafaa zaidi ambao bado hawajampokea kristo kuliko ambao tayari wamempokea.
Acha zipigwe huko ili neno liwafikie waziache njia zao mbaya wamrudie Mungu.
#MaendeleoHayanaChama
Muziki zawadi ambayo Mungu ameupa moyoMuziki Ni haramu
Yesu hakuwatenga watuNa bongofleva kupigwa kanisani nako hii imekaaje mana inaniumiza mno
Waislam tukiwa katika Swala hatuimbi Qasda na wala hazipigwi Msikitini.Hivi hizo kaswida huwa zinauzika kweli? Mimi napenda watu woote tuache miziki ya kidunia tushindane kidini coz sisi wakristo nyimbo zetu za din mpaka marekani unazipata [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mkuu, kuna kipindi nilikuwa na studio mtaa wa mashehe, nilikuwa napiga pesa nzuri sana.Hivi hizo kaswida huwa zinauzika kweli? Mimi napenda watu woote tuache miziki ya kidunia tushindane kidini coz sisi wakristo nyimbo zetu za din mpaka marekani unazipata πππ
ZABURI 150:1-6Muziki Ni haramu
Mnataka kupangiana Imani ..hizo sio akili .... Imani yako uliyoikuta Kwa wazazi wako baki nayo hukohuko .....Ajabu ni kuwa huwezi kukuta qaswida bar
ZABURI 150:1-6Muziki zawadi ambayo Mungu ameupa moyo
Huo ni mstari wa biblia lakini sijui ni kitabu gani nadhani Zaburi au mithali