duhKama umefunga CCTV majumbani na kwengine muwe mnapitia rekodi mtakuja kugundua mengi sana.
CCTV inauwezo gani wa kujua mpaka muriro kapita.
View attachment 3342872
Hivi hata DSTV nahisi huna kuna channel ya National geographic kuna vipindi kana viwii ghost hunt na its real kisha uje na majibu.unaona kila mtu yupo tiktok ndugu kama ccmAchana na story za AI na Tiktok,hakuna aliyeweza kuthibitisha pasi na shaka kwamba Muriro anaweza kuonekana kwenye CCTV FOOTAGE
Hivi hata DSTV nahisi huna kuna channel ya National geographic kuna vipindi kana viwii ghost hunt na its real kisha uje na majibu.unaona kila mtu yupo tiktok ndugu kama ccm
Wewe ni muhaya?!hivi hadi leo mtu kabisa unamtambia mwenzio au unajiona kumiliki DSTV ni ufahari!? DSTV si ndo hivi ambavyo wadada wa chuo wanavyo kwenue maghetto yao na vifurushi vyake vya DStv Poa - 11,000/=,DStv Bomba - 27,000/=DStv Family - 39,000/= navyo vya kumtambia mtu?!Hivi hata DSTV nahisi huna kuna channel ya National geographic kuna vipindi kana viwii ghost hunt na its real kisha uje na majibu.unaona kila mtu yupo tiktok ndugu kama ccm
[emoji23]Tangu SIMON NYAKORO SIRO aliposimama mbele ya kadamnasi bila aibu na kusema kwamba hii picha aliyoshika mkononi ni Picha ya CCTV CAMERA niliacha kuziamini CCTV CAMERA tangu siku hiyo!
View attachment 3342905
Muliro au siro?Namuona muriro pembeni ya gari
Kwa hiyo wewe unaona ni ngumu sana Black mamba kukamatwa na wale majamaa?Wewe ni muhaya?!hivi hadi leo mtu kabisa unamtambia mwenzio au unajiona kumiliki DSTV ni ufahari!? DSTV si ndo hivi ambavyo wadada wa chuo wanavyo kwenue maghetto yao na vifurushi vyake vya DStv Poa - 11,000/=,DStv Bomba - 27,000/=DStv Family - 39,000/= navyo vya kumtambia mtu?!
Sio kila kitu unachokiona kwenye Tv ni real watu wanatafuta viewers yani mimi nikae kabisa niaminishwe kwamba Ghosts captured in CCTV footage!? Dstv haohao wana kipindi NATGEO kuna mtu na Mchumba ake wanakamata Nyoka live kwenye nyumba za watu eti hadi Black Mamba wanawakamata, halafu unataka niamini kirahisrahis kisa wameonyesha DSTV sina akili nyepesi kama zako mkuu!