Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

Yaani unailaumu Chadema badala ya serikali. Hii ni akili au matope. Nyinyi wananchi mmechukua hatua gani
Wananchi hawamjui Saa8 ni mtu tu kama watu wengine. Mtu wa mwisho kumuona akiwa hai ni mbowe. Tuanze na huyo aeleze. Tundulissu ni hivyo hivyo, ndiye aliyemuona wa mwisho mtu aliyempiga risasi. Aseme ni nani na yukoje.
 
Naamini kwa dhati kabisa kwa 100% kuwa wewe ni Mpiga Zumari uliyetumwa makusudi kutoka "Dawati la Propaganda" la wale jamaa. Lakini tambua tu kwamba "Hakuna marefu yasiyo na ncha.."
You are here for the special mission of doing Black Propaganda, Characters Assassination and Smear Campaign.
 
Huyo pimbi ni ACT Wazalendo. Wao wanachama wao wengi waliuliwa kwenye uchaguzi wa 2020 na kiongozi wao mwandamizi Jussa kunusurika kifo kwa kipigo cha askari wa CCM akaishia kwenye wheel chair leo hii wako meza moja na CCM wanagongesheana glass.
 
Sasa kuikumbusha CHADEMA ipiganie haki ya kada wake inahusiana vipi na uchama?

Yaani wewe Mwanachadema haufikiri kuwa una wajibu wa kukikumbusha chama chako kuweka nguvu kuishinikiza serikali ifanye uchunguzi juu ya madhila yaliyomkuta kada mwanachadema mwenzio?
 
Na nyie mnashindwa nini kupigania haki ya wale wanachama wenu walioliwa na askari wa CCM wakati wa uchaguzi wa 2020 au wale siyo watu kwa vile ni Wapemba?
 
Na nyie mnashindwa nini kupigania haki ya wale wanachama wenu walioliwa na askari wa CCM wakati wa uchaguzi wa 2020 au wale siyo watu kwa vile ni Wapemba?
Naona unaleta ligi, uvyama, na siasa katika maisha ya mtu.

Kwa hiyo Chadema ikikumbushwa itafute haki ya Ben Saanane wewe akili yako inakutuma kuwa huko ni kuichokonoa Chadema?

Nyie makada vipi, mbona common sense haiwi common?
 
Hi Boss! Uzi wako umeukosea kidogo .waliokufa kutokana na wingu la siasa sio saa8 pekee. So Uzi wako ungekua na mantic kama ungehoji kwa nini vyama vya siasa za upinzani Tanzania kwa pamoja visishinikize serikali ifanye uchunguz juu ya kupotea na kuuawa kwa wafuatao , azory, Ben saa 8, nk, maana ni wengi wamepotea ama kuuawa hasa wakati wa utawala wa jpm .ulivyoandika imekaa kinafiki ikizingatiwa wewe ni moja ya wanaoheshimika hapa jukwani.
 
Huyu mfuasi wa Zitto Kabwe adui yake ni Chadema tu.
 
Kwa hivyo serikali kupitia vyombo vya Dola haiwezi kushughulikiwa suala la Ben Sanane mpaka CHADEMA wapige kelele?. Mbona unaongea Jambo lisilokuwa na mantiki. Yani CHADEMA wakipiga kelele ndio polisi watafanyaje?. Tukubali vyombo vipo biasa na haviwezi kushughulikia mambo ya wapinzani kwa uhuru
 
Yamepewa pesa na samia yanatumbua

Hayana muda na changamoto za wananchi

Wamepewa pesa na Samiah?. Shilingi ngapi?.. Mnalaumu CHADEMA haishughiliki changamoto za wananchi, je bunge la CCM, Halmashauri za CCM na wenyeviti wa CCM nchi nzima watafanya Nini.

Tatizo lenu CCM inayothibiti asilimia 95 ya vyombo vya maamuzi mmeikalia kimya na kuiogopa, ila CHADEMA ambayo haipo kwenye bunge, Wala Halmashauri au wenyeviti mnaishupalia kana kwamba ndio ipo serikalini.
 
Kuna tofauti kati ya mtu binafsi kutia shinikizo, na chama kupitia vikao vyake kuja na azimio la kutaka majibu. Kamati kuu ya Chadema haijawahi kutoa maazimio ya kuishinikiza serikali ya CCM ifante uchunguzi na kuja na majibu juu ya masuala hayo.

Acha kuwa mnafiki. Yani mtu ashambuliwe kwa risasi nusu ya kufa halafu serikali ikae kimya bila kufanya uchunguzi?. Yani unalaumu chama kisa serikali kupitia vyombo vya Dola havijafanya kazi yake?. Mimi nilidhani ungeilaumu serikali baadala ya CHADEMA.
 
Nyuma ya kifo cha Ben saa8 wapo chadema ..mbowe...rostam azizi na msoga gang lengo.lao kumchafua mtukufu JPM hivyo kwa kuwa jpm ayupo awawezi kutaka hiyo habari ya uchungu.

Vijana tupunguze bangi. Sio nzuri kwa afya zetu.
 
Wananchi hawamjui Saa8 ni mtu tu kama watu wengine. Mtu wa mwisho kumuona akiwa hai ni mbowe. Tuanze na huyo aeleze. Tundulissu ni hivyo hivyo, ndiye aliyemuona wa mwisho mtu aliyempiga risasi. Aseme ni nani na yukoje.

Kwa maana nyingine unamaanisha raia asipokuwa maarufu akiuawa sio kosa?. Yani Ben Sanane kupotezwa sio issue kisa sio maarufu? Ndio sheria gani hiyo. Tukubali serikali inamkono mrefu kwenye Hilo tukio ndio maana ipo kimya.

Hivi ni sheria gani inasema mtu akishambuliwa asuburiwe mpaka apone ndipo aje aseme nani alimpiga risasi. Yani Lissu angefariki ingekuwaje?. Kumbuka alishatoa taarifa mapema kuwa Kuna gari linamfuata, watu Kama wewe wenye roho mbaya mkakejeli. Leo kapigwa risasi mnaleta ngonjera zenu.
 
Hao ACT Wazalendo ni washirika wa CCM
 
Hivi wewe unajielewa?. Suala la uhai wa mtu sio la chama pekee Bali la serikali kupitia vyombo vya Dola. Sasa mtu kapotea kwa kupinga wizi wa Elimu wa Rais wa Nchi, unategemea serikali itahangaika hapo kwa lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…