Serikali haiwezi kujichunguza au kujinyooshea kidole bila presha kubwa ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Chadema wanayostake kubwa zaidi ktk hili jambo kwa sababu Ben Saanane alikuwa kada wao muhimu.
Labda uelewe tu kuwa mimi kuitaka Chadema iipe shinikizo kubwa la kisiasa na uwajibikaji serikali haimaanishi kuwa sitaki serikali itimize wajibu wake. Sasa nashangaa badala ya nyie kuona umuhimu wa kupigania haki ya Ben Saanane, mnakikinga chama kisipewe shinikizo ili kitumie turufu yake ya kisiasa kuitaka serikali itimize wajibu wake kwa Ben Saanane.