Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

NAONA WANACHADEMA WANAMTHROW BEN SAANANE UNDER THE BUS!
Leo umeyatimba umeyakanyaga umewasema Malaika kazi unayo, kiukweli kwa uwezo wako wakuandika na kuchambua huwa nashangaa sana wewe kuwa na tumaini na CHADEMA. Tena saa hii wamechagua Populism instead of proper party investing on policies ndo kabisa hawafai. Angalia tu aina ya watu iliyo wajenga kwenye reply ya huu uzi wako then angalia majority ya viongozi wake mipango na sera zao, no statesmanship no vision wao its all about madaraka in any means possible ila no plan to govern or change the course of Nation. waulize tu hapa wao wanaahidi nini ili mambo kama ya Ben Saanane yasitokee incase wameshinda dola no plans ila wao ni kulalamika tu hapa hovyo polisi hovyo kila kitu hovyo haya tupeni mbadala wenu mkishinda no policy. Toka 2015 i have never seen CHADEMA proposing a different policy on how to govern and deal with various national issues. Sasa sema tofauti nawao ushukiwe kwa kashfa, kejeli na matusi kabisa
 
Hivi wewe unajielewa?. Suala la uhai wa mtu sio la chama pekee Bali la serikali kupitia vyombo vya Dola. Sasa mtu kapotea kwa kupinga wizi wa Elimu wa Rais wa Nchi, unategemea serikali itahangaika hapo kwa lolote.
Serikali haiwezi kujichunguza au kujinyooshea kidole bila presha kubwa ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Chadema wanayostake kubwa zaidi ktk hili jambo kwa sababu Ben Saanane alikuwa kada wao muhimu.

Labda uelewe tu kuwa mimi kuitaka Chadema iipe shinikizo kubwa la kisiasa na uwajibikaji serikali haimaanishi kuwa sitaki serikali itimize wajibu wake. Sasa nashangaa badala ya nyie kuona umuhimu wa kupigania haki ya Ben Saanane, mnakikinga chama kisipewe shinikizo ili kitumie turufu yake ya kisiasa kuitaka serikali itimize wajibu wake kwa Ben Saanane.
 
Wewe una bifu lako na Chadema kwa niaba ya boss wako Zitto Kabwe. Chadema walishafanya kila waliloweza hadi kuomba msaada toka Scotland Yard lakini Serikali ilikataa sasa hebu suggest wewe unataka Chadema wafanyeje au waingie mstituni. Hoja yako ina nia ovu kutaka kuonyesha kuwa Chadema hawajafanya kitu kwa Saanane kupotezwa na vyombo vya dola. Suala hili hata Bungeni lilifikishwa lakini kwa vile washukiwa ni dola yenyewe likapigwa chini. Unaongea kana kwamba huijui Serikali hii ovu ya CCM ambayo mikono yake imejaa damu za wapinzani wengi tu ambao list yao ni ndefu.
 
Back
Top Bottom