Mimi ni mwanafunzi wa chuo X, natarajia kuingia mwaka wa pili karibuni, mwaka wa kwanza nilipewa mkopo wa ada kama 400,500, ile allocation ilikuwa inaonesha ni mwaka m1 wa masomo
Je, kuna uwezekano wakaendelea kunilipia kiasi kilekile bila kunitumia status yoyote kwenye account ya SIPA?
Na je ikiwa sitapata taarifa zozote za mkopo naweza kwenda chuo na nikafanya usajili pa1 na bumu langu kama ilivyokuwa mwaka wa kwanza?